Recent content by Hanzu Runi

  1. H

    Wazanzibari ni jamii yenye asili na ustaarabu mseto (cosmopolitan) na sio jamii ya kibantu

    Si hivyo tu, dhana nzima ya ‘Ustaarabu’ imesheheni ushenzi kwani neno mstaarabu limetoholewa kutoka mosta-Arab (kama-Mwarabu). Hivyo basi, ili ‘ukamilike’ kama binadamu unapaswa uwe ‘kama’ Mwarabu na, bila shaka, kamwe hautokamilika kwani huwezi kuwa Mwarabu. Upo? Hao ndiyo walewale...
  2. H

    Hivi ni nani anaongoza Wizara ya Mambo ya Nje kutokea nje ya serikali?

    Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizarani pia ana uraia wa Sweden na alikuwa Msaidizi (Special Assistant) wa Raisi Mkapa na hivyo basi kuna muingiliano wa masuala: aidha aliwakilisha maslahi ya Sweden au alisikiliza zaidi ushauri wa aliyekuwa bosi wake awali kuhusiana na sera na utendaji wa kila siku wa...
  3. H

    Hivi ni nani anaongoza Wizara ya Mambo ya Nje kutokea nje ya serikali?

    Mbona mnakuwa wagumu kuelewa mambo mepesi hivi! Rais hajaridhishwa na masuala ya Mambo ya Nje na amefanya mabadiliko. Nani mtendaji wa Wizara? Katibu Mkuu. Kuna uzi ulipita hapa Desemba 2016 kuhusu uraia pacha wa Katibu Mkuu (dual nationality). Zaidi ya yote, kwa miaka karibu minane (8)...
  4. H

    Wakenya na Passpoti za Tanzania

    Vyema waende na Wizara ya Nje, pale kuna raia wa Sweden. Ngazi ya juu kabisa. Au Sijui kama wamerudisha passport ya Mfalme Gustaf V?
  5. H

    Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

    Umenikumbusha Mzee mmoja, aliwahi kuwa ngazi za juu serikalini. Naibu Waziri na baadaye Balozi. Kama Nnauye na wengineo, alizaa-zaa sana lakini mwanae mkubwa aliyemzaa kabla ya kupata madaraka. Huyu ndiyo aliyekuja kutusua na hapo sasa nduguze walikuja kumjua kama Kaka Mkubwa. Wa ndani-ya-ndoa...
  6. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    And tell your sisters, when you get to the hills, it is bumbo -as in ass, not bombo, Barbarosa. Pah! The last time I checked it was a Nazi winter offensive, which faced its waterloo in Leningrad. This now is your Waterloo.
  7. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Bomboclat? You batty bwoi. This is Rasklaat! Ckyaka-ncayaan! True! True!
  8. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Ewaa! Naam. Umenifahamu bila shaka. Sisemi tusiwekeze kwemye vyote, au baadhi, ya tulivyofeli. Ninasema tuwekeze pale tunapoweza. Binafsi sidhani kama tunaweza kuwekeza kwenye ndege na reli za umeme au bandari mpya. Uwezo huo hatuna. Vivyohivyo, hata pale ambapo tunauwezo, kuna sababu nyingine...
  9. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Strategic investments? I like the spin, the chutzpah even but it doesn't fly. Not much different from redistribution of wealth. Sounds good the devil is, you know -details. To redistribute something you have to have it. Nianze na strategic relocation ya Mji Mkuu, baadaye reli na ndege. Unadhani...
  10. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Yote yanawezekana lakini sio papo kwa papo. Maadamu Ethiopia wana ndege kwanini sisi tushindwe haiwezi kuwa sababu ya msingi tununue ndege! Hapana. Haya siyo mashindano ya urembo ambapo kwa kuongeza lipstick au wanja taswira ikabadilika ghafla, Chausiku akawa Mwajabu. Biashara ya ndege ngumu na...
  11. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Tatizo kubwa ninaloliona katika mada hii ni kuungalia uchumi kama vile tupo darasani (ceteris peribus), nikimaanisha: mambo yote mengine yamesimama isipokuwa 'uchumi'. Kitu ambacho hakiwezekani hata siku moja. Uchumi ni usalama wa nchi, uchumi ni uongozi wa nchi, uchumi ni imani, dini na...
  12. H

    Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Mkuu Paskali, labda tu nikutoe mashaka. Pengine? Mengi aliyosema Kimweri ni sahihi japo kuna marekebisho ya hapa na pale, kwa maoni yangu. Ndiyo maana nimetanguliza "pengine". Mosi, suala la wageni kuishi nchini bila vibali na kudorora kwa soko la nyumba japo ni kweli lakini haliwezi, na...
  13. H

    Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Kuna Katibu Mkuu alitajwa uraia wa Sweden, yeye kosher tu. Walimpaje?
Back
Top Bottom