Njia rahisi ni hii:
nenda Psiphon | Uncensored Internet access for Windows and Mobile uchukue psiphone.
Ni programu ndogo. Ilibuniwa kwa watu katika nchi kama China na Iran ambako serikali zinalenga kuzuia kila kitu mtandaoni.
Si app, kwa hiyo si rahisi kuigundua wakati mtu anashika simu yako...
Unanakili mstari wa URL pale juu kwenye ukurasa.
URL wa ukurasa huu ni https:++www.jamiiforums.com+threads+rupia-hazina-ya-mjerumani.292142+page-41 (nimeweka + badala ya / ili ionekane) na kuimwaga hapa. Tayari.
Nikisikia wanachosema wale waliozunguka Dunia angani au pia kwa ndege: Ndio!
Nikisikia wanachosema hao waliopo juu pale sasa hivi: Ndio!
Nikiangalia picha za kamera za ISS (na satelaiti nyingine): zinalingana!
Nikichungulia habari zote ninazujua kuhusu jambo hili na kutumia akili ya wastani: Ndio.
Yeye ni Mjerumani. Familia yake ilihamia kutoka Uturuki, huyu tangu siku ya kwanza ya shule alisoma Ujerumani, ameendelea kuwa profesa wa biolojia na tiba pale. Hana uraia mwingine ila Ujerumani.
Huyu ni raia wa Australia. Hakuna sharti ya kutoa taarifa kwa polisi ukipoteza pasipoti ya nchi uliyoacha.
Sijaona dalili kwamba aliingia TZ kama raia wa TZ. Alifika kama raia wa Australia aliyeomba visa.
Nisipokosei hakuna sheria inayodai unahitaji kuomba kibali ukitaka kuacha uraia wa TZ...
Sidhani anatumia pasipoti mbili. Alisema hakurudisha pasipoti ya Tanzania kwa sababu ilipotea pala Australia ambako alikuwa raia. Ile nukuu ya "mawi ya fahali" umepata wapi? Una ushahidi?
Kutumia simcard ya mtu mwingine - hiyo kweli jinai kali!!!!
Sidhani kwamba ninapenda kutaja Freemasons. Ninavyosikia ni kundi kama klabu inayofanana na makundi mengine kama vile Lions Club, Rotary na kadhalika ambako watu wenye pesa (au wanaopenda kujitazama kama watu wenye umuhimu fulani) wanakutana. Tabia ya pekee ya Freemasons ni walianza miaka 300...
Jamani hii imani kweli ipo? Hakuna ukweli wowote. Wajerumani wangepata utajiri wapi??? Koloni ya Afrika ya Mashariki ilikuwa mradi uliohitaji pesa kutoka Ujerumani kwa kulipa mishahara ya watumishi na askari na kwa ajili ya ujenzi wa reli na kadhalika, haikuwa mradi uliozalisha utajiri.
Mfano...
Nilisema kuhusu madai kuna hazina sokoni Mbeya mjini. Hapakuwa mji wa Mbeya wakati wa Wajerumani. Rungwe iko Tukuyu, iliyokuwa makao makuu ya serikali ya kikoloni.
Hakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza...
Hapo historia ya "Pauni ya Tabora"
(Chanzo: Tanzanian Affairs » THE TABORA GOLD COIN)
In March 2007 a gold coin minted in German East Africa in 1916 was sold for £1,400 by the London auctioneers Dix Noonan Webb. Sometimes known as the ‘Tabora pound’, this coin has an interesting history.
At...
Zingatia kwamba sarafu za nusu rupia na rupia moja haina thamani kubwa sana, zinatafutwa na watu wanaokusanya pesa hizo kama burudani. Bei itategemea hali ya kila sarafu na pia mwaka unaoonyeshwa; kama ni safi sana labda Tsh lakhi mbili hadi tatu. Hizi za dhahabu ni chache zaidi, zilitolewa...
Sarafu hizo zilitengenezwa mnamo 1916 pale Tabora kwenye karakana ya reli ya Kijerumani. Maana wakati ule Dar es Salaam (makao makuu ya koloni) ilivamiwa tayari na Waingereza. Jeshi la Kijerumani (lililokuwa hasa jeshi la Waafrika chini ya maafisa Wajerumani) liliendelea kupigana na Waingereza...
Kaka nilikuomba mara kadhaa tuache majadiliano ya hewani. Ukijua wako watu (wayahudi au si wayahudi) waliopewa Tuzo ya Nobel bila kuistahili, TAJA MAJINA NA SABABU.
Menginevyo ninahisi wewe ni pia mtu aliyewahi kutibiwa angalau mara moja kwa dawa ya antibiotic. (Nahisi tu, lakini wako wachache...
Mkuu utumie mantiki kidogo. Yesu hakulaani "Wayahudi". alikuwa Myahudi mwenyewe.
Pia inadhuru nini kama watu fulani waliwahi kulaaniwa? Wakristo walilaaniwa, Waislamu walilaaniwa - nani duniani hakulaaniwa wakati fulani na watu fulani ???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.