Recent content by Han'some

  1. H

    JamiiForums Tanzania CUF: Serikali ilichukulie hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini!

    >>>Kambaya hujajibu tuhuma, umeishia kusema uongo >>Radio Maria haijafungiwa..hata hapa naisikiliza. Lipumba ajirekebishee
  2. H

    JamiiForums Tanzania Egypt Army gives President Mohamed Morsi 48 hours Ultimatum!

    Jeshi la Misri limetoa saa 48 kwa wanasiasa wa nchi hiyo kumaliza mzozo wa kisiasa la sivyo Jeshi litaingilia kati. Mkuu wa Majeshi, Gen. Abdel Fatah, amesema kuwa maandamano makubwa yanaashiria matakwa yasiyo kifani ya raia. SOURCE: BBC &DW
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    Huyu jamaa ni janga la Taifa. Hafai kuwa huru
  4. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi DARUSO: Ni CHADEMA vs CCM?

    Kampeni za Uchaguzi wa Rais, na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, zimeanza. *Wagombea Urais ni watatu katika kinyang'anyiro hiki. Bw Egidy Mkolwe ambaye ni mmoja wa wagombea, anatarajiwa kuzindua kampeni zake katika ukumbi wa Yombo 4, hapa UDSM...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    ni kweli Mkuu.. Col. Fabian Massawe ameprove kwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, na sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Bila tshaka, na mn nitaweza
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    Siwezi kumuacha Mbena wangu nitafute Mhaya. Mbena wangu ananifanya niyaone mapenzi ni matamu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    Mimi Mkibosho exceptional aisee Mkuu siyo kwamba tu nina kisu, ila pia nina screw drive, na vyote hivi ni kwa matumizi yangu ya kawaida, na sitarajii kumchoma mtu awaye yote
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    Ha ha! Hapana Mkuu kuchomana visu ni too aggressive na violent
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    Mkuu mimi napenda amani. Na ubabe wangu wa Kibosho sipendi kuutumia sana; huwa nautumia mara chache bz napenda kufurahi na watu wote mpaka sasa nimeishi na makabila 60+, toka nilipokuwa advance Mwakaleli, Mbeya, na hapa chuo. But hawa jamaa ni unique
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni anayezijua vyema characteristics za wanawake wa kibena

    Mkuu ninakuunga mkono. Mimi ni Mchagga na nina mpenzi Mbena; raha sana aisee babaangu
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    itabidi nizoee tu!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    bora wewe umepata
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    Taabu kweli
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    *Wana-JF, MMU, mimi ni Mchagga, na nipo chuo fulani hapa Tanzania. *Ninaishi room na Wahaya wawili. *Tatizo ni kwamba najikuta ninagombana nao mara kwa mara kwa sababu naona kama wana dharau hivi, wana kejeli, maneno mengi, na nikiongea kitu ni kama wanachukulia as if nimeongea pointless...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    hujielewi wewe; kejeli ya mwigulu zimekuwa lini hoja za kuwabana CHADEMA?
Back
Top Bottom