Recent content by hans nassoro

  1. H

    Ali Kiba katika kampeni za CCM Mtwara leo

    Kunamtu alitaka hata kunipiga humu akisema ali kibba kakataa millioni 120 za ccm hvi kwanjaa hii ya tanzania alikiba hanaubavu huo
  2. H

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Mnatafuta ukilema andamaneni tuu hana kagera hamtaimaliza mshavunjwa miguu
  3. H

    Ziara ya Mgombea Mwenza Samia Suluhu kwa Tiketi ya CCM jijini Dar es Salaam

    Hiyo ni manzese mtaa naoishi hata mi nilikuwepo cha zaidi walijaa wasanii wa bongofleva nami nilienda kupata burudani na wengi waliojaa ilikuwa kwaajiri ya fiesta ndogo hyo ila huku kwetu hakubarikiii
  4. H

    Kazi ipo hapa CHADEMA

    We kipofu kweli umerukia treni kwa mbele huyo aliopo na begi la pesa ni amit aliyekamatwa wakati wa vikao vya ccm dodoma afu huyo aliye na lowassa ni mgombea ubunge jimbo la ilala kupitia chadema mustafa asanali punguza kushear upuuzi
  5. H

    Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

    Kuhudhuria mambo ya wanaccm tuu hyo ni sababu tosha hebu kumbuka wiki iliyopita kulikuwa na show zawahusu wanaccm huyo kiba mbona alikuwa mstari wa mbele hyo ya millioni120 ni utunzi wako kama wanapropaganda mnavyoendelea kutunga mambo pia kutukana ndio malezi yako tukana tuu
  6. H

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Lowassa mbona yupo fiti au umesahau jk alikuwa bingwa wa kudondoka majukwaani na kaweza miaka10
  7. H

    Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

    Ushahidi wa kwann hajahudhuria huna unababaisha hzo million 120 ulimpelekea ww akakataa??? Acha porojo alikiba na ccm ni chupi na tako
  8. H

    Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

    Lete ushahidi au we ukisoma thread kwako ni ushahidi tuu??? Tunataka ushahidi kutoka kwake yeye au waliohusika kwenye hiyo deal tofauti na hapo mtakuwa mnaendeleza tabia ya watanzania wengi kuwa watabiri............hoja inakuja na ushahidi hiki kitu umekianzisha wewe ndio unatakiwa utoe ushahidi...
  9. H

    Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

    Nikupe pole tu kwakupenda chongo afu unasifia kinaona vizuri mi ni mpenzi wa mpira siyo shabiki wa team special tz kwakuwa nyote mmejaa uswahili afu mpira mbovu kila kukicha mnanunua wachezaji baada ya mwezi mnavunja mkataba yaan mpo careless mno ndio maana mpira wenu hauna future au plan b...
  10. H

    Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

    Unashindwa kuqualifie hata group stage unajiita wa kimataifa??? Tunashindwa hata na wa sudan hapa hamna mpira maneno mengi ndio tunajua.
  11. H

    Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

    Lete hoja ndugu kuchukuliana poa ndio???? Hiyo ya millioni 120 ni uzushi kwakuwa nikikuomba ushahidi huna wala yeye hajasema hizo kauli ila tuache hilo kiuhalisia alikiba nae ni mmoja ya watu washiriki sana wa hafla za ccm kama yupo upande wa ukawa basi ajionyeshe wala asiogope nakumbuka enzi za...
  12. H

    Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

    Tanzania hamna wa kimataifa promo za magazeti zinatupotosha sana ila mpira wetu ni uleule tuu na hawa wachezaji tunaowanunua kwakusoma sifa google zinatudumaza .
  13. H

    Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

    Mi nilidhani unauhakika hakuwepo na sababu unajua kumbe unabahatisha kwakuwa hukumuona jukwaani tuu mbona kiba ni muudhuliaji mzuri tuu wa mambo ya ccm siwezi kumlaumu hata diamond anatetea tumbo lake ila anajitengenezea mazingira magumu kwani sasa hvi wananchi wanahamu sana na mabadiliko kuliko...
  14. H

    Lowassa kapita dirishani kwangu

    Kumbe na hizo barabara za vichochoroni gongo la mboto kajenga magufuli???? Kabla ya magufuli kulikuwa hamna barabara au
  15. H

    Lowassa kapita dirishani kwangu

    Alikuwa ccm
Back
Top Bottom