Kazi ipo hapa CHADEMA

Kazi ipo hapa CHADEMA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11220858_1160649470628834_1633185057687035658_n.jpg



Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

HII IMEKAAJE?
 
imekaa poa, vijana wameanza kujitambua, wanayo nafasi ya kuboresha zaidi maisha yao wakiwa ndani ya ccm kwa kufanya kazi na magufuli
 
Hao ni kama tone kwenye bahari! Wala wasikukoseshe usingizi hao!! Mabadiliko yanakuja na wanaoyataka hawana hesabu
 
Hao ni kama tone kwenye bahari! Wala wasikukoseshe usingizi hao!! Mabadiliko yanakuja na wanaoyataka hawana hesabu

Hujui Siasa wewe. Wwatu wanaesabu kila kura, kalaghabao
 
Ulaghai wa kisiasa huo.Hkuna kurudi nyuma hakuna lisilojulikana nyuma ya hako kamaandamano.Mungu hawezi kuacha watu wake wazidi kuteseka kwa miaka mingine.MABADILIKO LAZIMA .
 
Ulaghai wa kisiasa huo.Hkuna kurudi nyuma hakuna lisilojulikana nyuma ya hako kamaandamano.Mungu hawezi kuacha watu wake wazidi kuteseka kwa miaka mingine.MABADILIKO LAZIMA .
Mabadiliko lazima, hatutaki Fisadi.

IMG_9876.jpg
 
Sasa wanywa viroba wameanza kupata akili kidogo. Mpaka ifike 25 October watakuwa wanaelewa somo. Dr Slaa ataitisha mkutano mwingine tena na waandishi wa habari. Mtaisoma namba mwaka huu. #HapaKaziTu
 
Hapo yupo Lowasa?mods chambua mambo ya kuleta kwenye ubao huu.
 
Swali kuuliza wananchi rais wenu nani kwenye kampeni za ccm lapigwa marufuku! Kisa watu kujibu lowasaaa....
 
hatidanganyiki (in pwagu tone)
 
hao ndio walioandamana!!!! sura zao zinaonyesha wamekopwa kwa kazi wanayoifanya.
 
Hahaahaa ningekua siwafahamu ccm ningekubali lakini kwa upuuzi na ushenzi wa Ccm hahahaaa
 
Miaka 50 bado mnatupa matumaini kwamba Magufuli ndo atabadilisha nchi kwaani atakuja na sera gani?Kikwete mlisema atatuondoa kwenye umaskini kwa sasa hamtaki hata kumtaja aibu ilioje kwa watz wote utadhani tumeumbwa na ccm
 
Lowassa atuambie kuhusu hii picha. Hebu tueleze Lowassa huyu jamaa ni nani?

We kipofu kweli umerukia treni kwa mbele huyo aliopo na begi la pesa ni amit aliyekamatwa wakati wa vikao vya ccm dodoma afu huyo aliye na lowassa ni mgombea ubunge jimbo la ilala kupitia chadema mustafa asanali punguza kushear upuuzi
 
Back
Top Bottom