Recent content by hanley jr

  1. H

    Plot4Sale Viwanja vipya Mji wa Serikali - Dodoma

    Mimi nauza vyangu vipo 9 buigiri chamwino Kama mkihitaji,sqm 1 nauza elfu 5
  2. H

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ni mradi unalipa sana,mbuzi ukiwa nao wengi ni Kama asset ila watu hudharau miradi Kama hii na livestock keeping ni zero tax rated
  3. H

    Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye kilimo hasa cha mboga mboga

    Boss check me haneyjr095@gmail.com
  4. H

    Kwa waliokosa mkopo

    dah pole sana mkuu hii nchi ya ki....e
  5. H

    Nisome kozi gani ili niweze kutengeneza blogs na websites

    ni hayo tu wakuu ntashukuru kwa msaada
  6. H

    Chuo cha Mipango Dodoma

    swali la mwisho mkuu maana umenisaidia sana hivi sports and games fee inalipwa kwa ajili gani au kuna michezo gani ya maana mpaka ulipe hela maana unawez lipa hiyo fee usione sports wala games
  7. H

    Chuo cha Mipango Dodoma

    daah sasa kupanga nje ya chuo vipi vyumba vinapatikana kweli na gharama yake ikoje?
  8. H

    Chuo cha Mipango Dodoma

    kuna mtu ana contact na mtu wa MISAB?
  9. H

    Chuo cha Mipango Dodoma

    basi tunaweza kuongezeka
  10. H

    Chuo cha Mipango Dodoma

    wakuu hizo hostel unalipia wapi chuo hapo hapo au maana nimeona kwenye website yao kwamba ukitaka hostel unabidi ufanye contact na MISAB ndo organization inahusika na accomodation
  11. H

    Selection are out Mipango Dodoma

    wakuu anayejua accomodation process za hapo atujuze ili tuwahi hosteli mapema
  12. H

    Selection are out Mipango Dodoma

    mkuu wewe uliapply hapo?
Back
Top Bottom