Recent content by hang'olwa

  1. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania M-Thailand alietishia kuifuta account ya Mark Zuckerberg

    Katishwa dogo
  2. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania M-Thailand alietishia kuifuta account ya Mark Zuckerberg

    Dogo Anasema amehairisha kutokana Na shinikizo kubwa la ulimwengu,Na athari zinazoweza kutokea Kwa kitendo cheke hicho.
  3. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Hawajaenda!.......

    Umaku
  4. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

    Master bwana[emoji12] [emoji12]
  5. hang'olwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeruhusiwa kuoa mkwe wa pili lakini nimepewa mtihani na mke wangu

    Kwangu pia nilipewa sharti la kumleta kwanza amuone kisha ndio ampitishe(maana nilishaanza Choko Choko za kutaka kumuongezea mke,)ila hili sio tatizo, tattizo hapo utakapo mpeleka halafu asimpitishe wakati kidume ushachagua ,Jua tu litakuwa bifu la kusambalatisha familia,mtege Mwambie akutafutie...
  6. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Changamoto niliyopata nilipoteuliwa kuwa mweka hazina wa kamati ya harusi

    [emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hang'olwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Fanya uchunguzi Wa kijasusi kisha ukipata jibu chukua maamuzi kama unayo,ila usimfuate Atakuona Fala Na sio kanuni za mwanaume kwenda kuomba huruma Kwa mgoni wako.
  8. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Nimekuja pm chek
  9. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watalaam wa magroup ya damu

    Hata kama kuna tofauti Basi vumilia usichukue maamuzi ya majuto
  10. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya uchawi/zindiko la benki

    Wachawi fahari yao kuchuru na kutesa,mambo ya pesa wakiwa kwenye ulimwengu Wa urozi hayana nafasi kwao
  11. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'arisha tiles zako na kuonekana mpya

    Watu watata[emoji12]
  12. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

    Bank watakuwa wazembe na vilazaa,mnashindwa kufanya uhakiki Wa kujua mwenye Mali ,pumbaf Kabisa
  13. hang'olwa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

    Ulijibu sio ulichoulizwa labda iwe unamalizia bando lako la chuo ,lakini stori hii umetunga
Back
Top Bottom