Recent content by handsomezombie12

  1. H

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    hando anaonekana kama mgonjwa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza hili gari (Volkswagen Golf) kama skrepa

    NIMESHAUZA MKUU
  3. H

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza hili gari (Volkswagen Golf) kama skrepa

    SOLD WAKUU
  4. H

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza hili gari (Volkswagen Golf) kama skrepa

    Habari, Hii gari aina ya volkswagen Golf, engine yake imenok inahitaji ovehaul. kwa anaehitaji tuwasiliane 0626947625 Gari ipo Mbezi Beach- Shule Price ni 3.3m
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari

    Dar es Salaam mbezi beach -shule
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari

    Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner. Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni Au nichek hapa 0685875749
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Nenda Chalinze kiwanda cha tiles ... onana na HR wakupe kazi ushindwe wewe tu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Yaani wale wachina wa KEDA- CHALINZE walikuwa wanampa 500k asee hongera yake me walikua wananipa 300k punguza NSSF hapo na KPI zao za kijinga ..kwa mwezi inakuja 200+ .... Management traine
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    basi nipitie kesho tangi bovu hapa twende kwa mzee wetu aisee
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    mwisho wa mwaka huu lazima saiv utakua umealikwa mbezi beach kwa mzee
  11. H

    JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    hiyo WATU MAARUFU umeipata wapi wewe au wewe ndio SUGU
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    okay leo umeonana na mzee?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    we kaa tulia tunga taratibu usiwe na haraka mzee ili ukija hapa utupe kilicho bora
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    umejua kutupanga mzee ila safi ni stori nzuri angekuwepo marehemu steven kanumba hii movie angeitendea haki
  15. H

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    [emoji39]
Back
Top Bottom