Recent content by Hance Mbuya

  1. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kifo jmn hakitabiriki
  2. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hivi me nataka kujua hivi mtu anashinda mil 100 kweli
  3. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Asante sana #ulimkafu
  4. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la meno kuharibika

    Na mm nahofia hayo asante kwa ushauri #zamiluni
  5. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la meno kuharibika

    Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda mda sii mrefu tena nitaenda kuling'oa.. Sasa swali langu,ni kipi kinachosababisha mpaka jino...
  6. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Yaah ni kweli
  7. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Msamiati mgumu nilitegemea ungemalizia ukiona mateso yamezidi jua neema inakaribia
  8. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Duh parapanda tena basi ni sheeda
  9. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Nilikuwepo ila maisha tu ndugu yalinipiga vibaya
  10. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Niaje niaje wana JF

    Duuuh kitambo kweli nilijua hii acount imefungwa aisee kumbe bado ipo..am back again...
  11. Hance Mbuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitafuti bali naulizaa hivi?

    Wanaojitangaza au wanajitangaza Sent from my tecno
  12. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Shimboni shanyuu wakika na wakisoro

    Hata kichaga kina nafas humu ama nn?
  13. Hance Mbuya

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodiiiiiiii

    Haya karibu ila hapa stori tuu Kula kila m2 kwake
  14. Hance Mbuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

    Mbuta nangaa!!!
  15. Hance Mbuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua

    Kwani ww ni mfupi?me nadhani ungeenda kwenye point labda we ni mfupi na una girl mrefu mwembamba,ama nn
Back
Top Bottom