Recent content by Hanansky

  1. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Pia nashukuru kwa mapendekezo yako japo yanakuwa nje ya kile ninachosimamia. Napenda dhihaka yako.xmas njema rafiki
  2. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Karibu Kama umependekaza
  3. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Sio Kila mtu anaujuzi wa kupiga picha ndio maana kuna photographer Kama mjuzi wa hilo ila nami nimejaribu kupiga kwa kiwango changu.asante babaa
  4. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Ndio kwako unasemaje
  5. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

  6. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Sioni sababu ya kuwa kigeugeu...nasimamia kile nilichotamka
  7. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

  8. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Asante nahitaji 300,000 mkuu,basi.
  9. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Kweli mi maskini ndio maana nimeshindwa kujenga nikataka kukikwamua kwa njia hiyo ya kusubiri Kodi ya mpangaji kheri yako wewe tajiri Ii
  10. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Sidhani Kila mpangaji lazima alipie pale tu anapotaka kuingia kwenye nyumba husika! wapo wanaolipia kabla. Na kwa kawaida siwezi kumhesabia mtu wakati hajaanza kuishi kwenye nyumba
  11. H

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    Wasiliana nami 0754433841 gari ninayo iko vizuri sana.
  12. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja na eneo la parking. Nyuma haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

    Umegundua eeh ...uko makini
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupika kande kwa mahindi mabichi

    Osha na Kisha bandika maharage yako jikoni...Chukua mhindi wako kisha Anza kupukuchua (kutenganisha mahindi na gunzi)..maharage yakikaribia kuiva changanya na mahindi yako yaliyosafishwa vizuri....ongeza chumvi na subiria kuiva.upande mwingine kaanga kitungua kwenye mafuta kidogo Kisha ongeza...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

    Hapana sio kariakoo, ni city centre, nyumba ya hotel ya starlight Kuna mtaa wa Libya ukienda nao Sasa mbele utakata upande wa kulia mtaa wa chaga ndipo hapo Kuna chef's pride.
Back
Top Bottom