Recent content by Hamza Nsiha

  1. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uundwaji wa Wizara muhimu ya Sayansi na Teknolojia Tanzania

    Chapisho lenye adhima adimu sana Congratulations
  2. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    Good idea kiongozi, hakika kuna kitu muhimu hapa katika chapisho hili.
  3. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Shukran kwa mchango wako piaa___umeongeza kitu ktk chapisho
  4. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Kwa kuwa lengo ni kuboresha afya La! Hasha tutafika tu....
  5. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Ni kweli lakini mazungumzo ya kina yanaweza kuja na majibu sahihi na mazuri. Always ninaamini sana katika power ya mshikamano
  6. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Utangulizi. Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo ni muhimu sana kwa ustawi wa jamii yetu. La! Hasha mawazo yangu hayana maana kuwa ninapingangana au...
  7. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kampeni ya holela holela iangalie na Sekta za Afya isiishie kwa Wananchi tu

    Great ideas____ Hongera sana! Hakika kuna kitu cha kujifunza hapa
  8. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Nini mbadala wa Nishati ya kuni katika kilimo cha tumbaku?

    Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
  9. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siku moja nitamwambia Rais...

    Good
Back
Top Bottom