Recent content by Hamza chimpaga

  1. Hamza chimpaga

    Jinsi ya kupata mtaji mkubwa kwa mwanachuo

    Sio darasa la saba huyu anatuzingua tu
  2. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Vipi kuhusu upatikanaji wa masoko kuhusu hii biashara ya bata mzinga ikoje?
  3. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Yani unasema umri wako ni kati ya miaka 30-40 ina maana hujui una miaka mingapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa bata mzinga

    Ruvuma Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa bata mzinga

    Ruvuma Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa bata mzinga

    Ok wazoefu Wa ufugaji na uuzaji Wa bata mzinga naomba mnijulishe kuhusu masoko? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Nataka kufuga bata mzinga ila naomba mnifahamishe changamoto zao pia naomba kujua upatkanaji Wa masoko ya kuwauza pia ni wap nitapata vifaranga vya bata mzinga? Naomba msaada wenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Hamza chimpaga

    Ufugaji wa bata mzinga

    Habarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko Nawasilisha kwenu[emoji775] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hamza chimpaga

    Tutayarishe makaburi ya kutosha kwa waathirika wa H.I.V

    Kipi chema kiitikadi "tukubali mapenzi ya jinsia moja ili tupate misaada ya ARV au tukatae ushoga ili tukose msaada? Crazy world
  10. Hamza chimpaga

    Hali ya zao la Korosho sokoni

    Leta pesa mzee tufanye biashara tugawane faida
  11. Hamza chimpaga

    Hali ya zao la Korosho sokoni

    Leta pesa tufanye biashara ya korosho ila kwa makubaliano maalumu
  12. Hamza chimpaga

    Biashara ya korosho

    Bei elekezi kwa mwaka huu ikoje wakuu?
Back
Top Bottom