Recent content by Hamunde

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kiapo na Maagano ya Kufanikiwa katika Maisha.

    Mtibeli andiko lako ni zuri sana ,ila kidogo linatuacha wasomaji juujuu ikikupendeza ingia deep kidogo mtibeli
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mzee Msuya: Wengi hudhani uongozi ni rahisi, lakini ni wachache sana wanaoweza kuvaa viatu vya Uongozi

    Yes bongo tubadilike wengi tunachagua watoa rushwa,waongo waongo hatuangalii karama za uongozi ndo maana kuendelea ni ....
  3. H

    JamiiForums Tanzania Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Huyu hawezi kuwa na mwisho mbaya kwa sababu ana succession plan nzuri ,sawa jirani yake pia, kwa hiyo kuwa na mwisho mbaya haitakaa itokee.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watu wanne, wafariki dunia, wakiwemo wanafunzi watatu na dereva katika ajali iliyohusisha Coaster na Scania

    Hivi muarobaini wa hizi ajali sisi kama taifa ndo tulishashindwa kuzipata?,maana ni kama janga la kitaifa sasa .RIP vijana wetu .
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS

    Huyu Mwabukusi ni mwanasheria msomi anae simamia haki sana,Mungu amshike mkono ashinde.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

    Tangia uzaliwe ndo mara ya kwanza kusikia mtu amezushiwa kifo?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

    Acha kumchafua mwenzio kama amekushinda kuimba si pambana umushinde na wewe lakini sio kuanza hadithi za kumchafua sio vizuri.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Bunge Lisilo Na Faida Kwa Watanzania Lijitafakari

    Kweli hawa ndugu zetu kama wanaenda dom kupiga porojo na mambo yasiyo na maana kwa taifa na unaweza kusema kila wakienda dom na wakirudi ndo hali inakuwa mbaya zaidi kwa watu wa chini.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Barikiwa sana mkuu Rabbon hakika nimekuelewa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Kuna huo wimbo,na kuna neno "Mheshiwa" mi naona kero sana inatakiwa ifike mahali vifutwe kabisa,mtu anafanya kila aina ya uchafu anaitwa mheshimiwa,anafisadi mabilioni anaitwa mheshimiwa.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi hafai na hastahili kuongoza TLS, heshima ya taasisi itashuka mno

    Yupo vizuri sana ,labda kama wewe mleta uzi kuna maslahi unaangalia.
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

    Kijana hataki mchezo huyo ,ila baada ya matukio haya wabunge wa kenya wanaweza anza kubadilika na wanaweza anza kuleta maendeleo katika nchi maana wanaona vijana hawataki mchezo.
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nitafanya kazi na Gen Z. Tayari nimeongeza Fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu na Ajira Mpya, nitawakaribisha Ikulu tuyazungumze

    Naona kwa hili naona Ruto kacheza kama Pele, amefikiria zaidi mstakabali wa nchi yake.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kuna Mawaziri Watatu Wana Uwezo mkubwa kuliko Wabunge Wote nao ni Dr Mwigullu, Mh Bashe na Mh Jerry Silaa!

    Mbatizaji mi ni kiukweli std vii lkn kwenye list yako kwa mbali namuona silaha anajiamini wengine hapana labda kama wanakisaidizi nyuma yao,TUNAONA .
  15. H

    JamiiForums Tanzania NIC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi Mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi wa SGR

    Yapo kwa mfano bwawa la hombolo ni bwawa kubwa kabisa kuliko la kwenu mbimba hapo,na la membe lipo kubwa kabisa yote ya Dodoma hayo.
Back
Top Bottom