Recent content by hamisym

  1. H

    DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

    Amesema wanatarajia kuitusha kikao ,,baada ya kikao ndipo watakapotoa tamko rasmi
  2. H

    DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

    Aliyekuwa anatoa taarifa amesema tu kwamba zitto yupo salama na wanawasiliana nae,,,akakataa kusema yupo wapi
  3. H

    Kwanini Lowassa asilete mvua?

    Daaah hii ndio Tanzania yetu aisee!!! Ila maombi yanahitajika jamani
  4. H

    DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

    Wanasema hakuna taarifa rasmi kama yupo nchini ama la.. Lakini wanasema yupo salama na wanawasiliana nae
  5. H

    Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    Chuo Kikuu Cha Hip Hop 1. MAANA YA HIP HOP Mahali ilipozaliwa? Julai 23 mwaka 2007, Jiji la New York, lilitangaza rasmi kuitambua 1520 sedgwick Ave iliyoko Bronx kuwa sehemu ambayo hip hop ilizaliwa. “1520 sedgwick Avenue ni sehemu ambayo Recreation Room, chumba alichokitumia muasisi wa hip hop...
  6. H

    Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City , hasa katika kitongoji cha Bronx. DJ Afrika Bambaataa alieleza kwa muhtasari wa nguzo nne za utamaduni wa Hip hop: U-MC , U-DJ...
  7. H

    Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    1.Afande sele 2.fid Q 3.professor Jay 4.Jay moe 5.Roma
  8. H

    Kitambue chombo VOYAGER 1

    Sisism bado sana aseee
  9. H

    Kitambue chombo VOYAGER 1

    Sisi bado sana aseee
Back
Top Bottom