Recent content by Hamisi msafiri ally

  1. Hamisi msafiri ally

    Prof. Mkenda: Kuna matatizo ya Kiufundi, Mtaala mpya wa Kidato cha 5 utaanza Mwaka 2025, kutakuwa na masomo mawili mapya kwa Wanafunzi wote

    Kipekee nipende kumpongeza prof. Mkenda Kwa namna anavoitendea vema Wizara ya Elimu, lakini pia kwa kutengeneza mtaala mpya wa elimu. Mathalani na pongezi hizo nipende kutoa ushahuri kwamba kama ikiwapendeze masomo ya STEM, Digital na ICT pamoja na Agriculture yangekuwa ya lazima kusoma...
  2. Hamisi msafiri ally

    Sitaki Watu Feki

    Ni ukweli usiopingika kwamba ndugu na marafiki zetu wa karibu ndio huwa wanatuumiza sana kuliko mtu Baki, huu wimbo una ukwel kwa asilimia zote watu ni wengi ila wenye ubinadamu ni wachache
  3. Hamisi msafiri ally

    PreGE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

    Kwanza nimpongeze tume kwa kutekekeleza majukumu yake bila woga, ila niipe pole kwa kukanganyikiwa na kesi za viongozi. Kwa uelewa wangu mdogo ninaoweza kusema kwa upande mmoja wa Sheria makonda hayupo sawa maana ameikandamiza hakika ya mshtakiwa, lakini kwa upande mwingine ni sahihi kwa...
  4. Hamisi msafiri ally

    CAG Mstaafu, Utouh: Kilichotokea Kenya kinaonesha kunahitajika Uwajibikaji katika fedha za Serikali

    Wanachokifanya wajibu ni jambo jema sana, Mimi nadhani serikali Ione aibu kutokana na makosa yanayonyooshewa vidole mpaka n mashirika ya kiraia. Lakini pia CAG anapaswa kuwa muwazi na muwajibikaji kwa Kila hatua ya tathmini anayoifanya ili kuzuia upotevu wa pesa za serikali hasa katika manunuzi...
  5. Hamisi msafiri ally

    DOKEZO Responded Wauzaji wa nyama Mbezi Beach kuna michezo wanafanya kwenye mizani

    Kama wanawaibia wananchi wanaowapelekea hela je, serikali inayopokea kodi.
  6. Hamisi msafiri ally

    KERO Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa na NACTVET kimeshindwa kuwapa vyeti wanafunzi waliounguliwa na vyeti vyao mwaka 2019

    Watumishi wasio wajibika ndio mzigo wa taifa hasa katika maendeleo ya wananchi. Mawaziri wenye dhamana inabidi wawachukulie hatua za kinidhamu watendaji hao maana ndio watakao mharibia sifa nzuri Rais katika utendaji wake
  7. Hamisi msafiri ally

    Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

    Mimi nilikuwa nachukia Mathematics na literature in English, but nilifaulu literature nikafeli mathe
  8. Hamisi msafiri ally

    Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

    Kiukweli nimpongeze sana mama yangu Khadija kopa, Mimi nasikiliza sana nyimbo zake na nyimbo ambayo naikubali ni Ile aliyofanya na diamond pamoja na aslay. Mathalani na hapo ni jasiri na ana maono na mabinti wa sasa ndo maan akatoa ushuhuda na kuwakanya mabinti wenye mawazo kama hayo.
  9. Hamisi msafiri ally

    KERO Responded Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    Mimi nadhani hatushinikizi vita ila huko tunakokwenda jambo litatokea. Serikali inapaswa kuweka kodi zinazoeleweka na sio kupachika kodi za ajabu na kuwanyonya wananchi. Ni vema wangeongeza kodi kwenye vitu hatarishi kwa afya kama pombe na sigara. Lakini pia kabla ya kuongeza kodi wangepaswa...
  10. Hamisi msafiri ally

    Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

    Mimi nadhani serikali inapaswa kuweka mkakati wa kuwashinikiza vijana kujihusisha kwenye siasa kwa kuondokana na mawazo yasiyo sahihi kwamba siasa ni kwaajili ya wazee. Lakini pia kuwepo kwa uwazi na uwajibikaji kwa tume huru ya uchaguzi ikiwezekana waweke vipaumbele zaidi kwa vijana wenye Nia...
Back
Top Bottom