Habari wadau wa uchumi!Mimi nahitaji kufahamu juu ya fixed akaunti kwa Muda wa Miezi sita naweza kupata faida ya asilimia ngapi kwa milioni saba kati ya NMB na CRDB,Nimeamua kuuliza humu sababu niko mbali na ofisi za Benki.
Habari Wapendwa!
Nahitaji kupata ufahamu angalau kidogo kuhusu biashara ya vifaa vya ujenzi ninaweza kuanza na mtaji kiasi gani kwa kuanzia tu yaani kiwango cha mwanzo kabisa.
Niko maeneo ya Nzega Tabora.
Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga.
Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6?
Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
Jamani naomba kufahamu ukweli kuhusu Kilimo cha umwagiliaji cha mpunga nimepata taarifa sasa nahitaji kujua zaidi taarifa nilizopata nikwamba.kukodi hekta 1 ni 800,000/=Kulima 100,000/=,kurudia kulima 80000/=, Kupanda 180000, Mbolea 300000, kuvuna na mashine 180000 JUMLA ni kama 1700000.kwa kila...
Jamani naomba ushauri kuhusu biashara ya kusafirisha abiria nilkuwa na mpango wa kununua hiace ambayo ni used nasikia Dar kuna yard zinauza hiace used.
Basi naomba ukweli kuhusu hili la hizi hiace kama zipo na bei zake, na kingine je hii biashara inalipa?
Nipo Bukoba Vijiijini, Nimeweka picha...
Safi sana we ndo mwenye ushauri mzuri kuliko wengine kukatisha tamaa tu ndyo maana sis Watanzania tuko nyuma sana hatuwezi kuthubutu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.