Asije akakuuzia mbuzi kwenue gunia😆😆Mtoa mada ulishafanya zipi kati ya hizo?
Nadhani kukodisha ardhiHivi ni biashara gani haina changamoto wakuu?
Kitu biashara ni changamoto tosha
Nadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Naomba kujua hiyo biashara ya kuniingizia 1ml kwa mwezi tafadhaliNadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Mwezi wa 12 ndo huu mkuu.Mkuu acha uongo , Sasa hivi ifakara wanauza gunia moja la mpunga la kilo 100 kwa shilingi 60,000 ... Kwa hiyo ukiwa na milion 5 unachuua magunia 84 hivi.
Mwezi wa kumi na mbili gunia huuzwa mpaka laki 1 na ishirini.
Gharama yako ni kuweka stoo huko ifakara ambapo ni tsh 2000 kwa gunia moja ambapo Ni lifetime cost.
Ninachojua mpunga unaweza kukurejeshea hela yako almost Mara 2.
Itaje hiyo biashara mkuu na sisi tunufaikeNadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Mkuu mchele Ifakara kwa kilo ni 1600 Bei imepandaMwezi wa 12 ndo huu mkuu.
Vipi game inaendaje huko ..?
...ww inaonekana hujui kabisa risk za mazao, fanya research sanaHAHAHAHAHAA
HUWEZ kutoka kimaisha kwa biashara hizo zaid ya kupata ela ya kula tu na majitaj mengine madogo madogo.
Nilifikiri utazungumzia biashara ya kununua mazao kisha uweke stoku ili uuze pindi bei ikipanda. Hii biashara itakutoa kuliko hiyo ya kwako.
Ingekuwa ni rahisi hivyo watu wote wa huko wangekuwa matajiri. Ukweli ni kwamba kila biashara haikosi changamoto. Kwanza aina hiyo ya biashara kuweka stock imepitwa na wakati. Labda kama wewe umesha develop kwamba una maduka yako ya jumla una mashine zako, ndo unaweza kufanya hivyo.Mkuu acha uongo , Sasa hivi ifakara wanauza gunia moja la mpunga la kilo 100 kwa shilingi 60,000 ... Kwa hiyo ukiwa na milion 5 unachuua magunia 84 hivi.
Mwezi wa kumi na mbili gunia huuzwa mpaka laki 1 na ishirini.
Gharama yako ni kuweka stoo huko ifakara ambapo ni tsh 2000 kwa gunia moja ambapo Ni lifetime cost.
Ninachojua mpunga unaweza kukurejeshea hela yako almost Mara 2.
Mfumo wa kuuza mazao watu waliyoweka store huwa ukoje? Unaanza kuuza rejareja au unatafta wa kuwauzia kwa jumla tena na wewe kama ulivyonunuaMkuu mchele ifakara kwa kilo ni 1600 Bei imepanda
Ni kweli?maana Tabora saivi ni 1000Mkuu mchele ifakara kwa kilo ni 1600 Bei imepanda
Uko sahihi sanaNadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Yan kilo moja ni buku hii hii ya kitanzania au?...ila naskia wanalima sana huko Tabora basi ni sawa tu kwa bei hiyo..Ni kweli?maana Tabora saivi ni 1000
Mwezi wa 9 nilikuwa mbalali Vijijin kwenye Bonde la Usangu , kilo moja ya mchele ilikuwa 850. Mia nane hamsini.Yan kilo moja ni buku hii hii ya kitanzania au?...ila naskia wanalima sana huko Tabora basi ni sawa tu kwa bei hiyo..