Ndugu mazingira kama nilivyoeleza hapo juu si rafiki kwa internet, na wanafunzi wao kama wao hawana uwezo wa kutatua tatizo hili ispokuwa SIRIKALI. Je? Itakuwa katalyst ya kupelekea watoto wa masikini wasisome au vp?
OLAS- mfumo huu wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (internet) ni mzuri lakini hamkufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanzisha utaratibu huu kwa sababu zifuatazo;
<1>% kubwa waTz wanaishi vijijini ambapo huduma za umeme ni tatizo na vijiji vingine hakuna umeme kabisa, je? Vyombo...
Kwakuwa wamemua kuulinda kwa maslahi yao binafsi wakumbuke kuwa utatuzi wa kero na takataka za huu muungano feki ndio ndio njia ya busara na sahihi zaidi.
Wasisubiri yalomkuta ZIN AL ABINE na wenzake.
Napata mkanganyiko, ikiwa kuna uhalali wa muungano kwanini mkataba unabaki kuwa siri na hauwekwi wazi kwa wanachi.
Kwanini? Viongozi wa ngazi za juu ndio wanaoupigiadebe muungano wakati masuala waliyokubaliana waasisi wa muungano hawayaweki hadharani.
Kwa nini kila mwaka ktk sherehe z muungano...
iMEKAA VZRI MNOOOOO!!
Popote pale duniani mabadiliko huletwa na wasomi. Mapinduzi ya TZ yataletwa na wasomi kama watamua kujitenga na CCM.
Vijana walioko vyuo vikuu wakiungana kwa pamoja mapinduzi ya kweli yatapatikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.