Recent content by hamisi kipango

  1. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    sasa kilo ya unga ilivyokua 2000 mlilalamika ss mahindi ya mekua mengi bei imeshuka mnalalamika tueleweje???
  2. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    kama kweli sheria ifuate mkondo na kama si kweli pia sheria ifuate mkondo akuna alie juu ya sheria
  3. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Hatima ya RC Makonda mikononi mwa wabunge wa CCM

    makonda anakubalika ata kama unamchukia uta chemsha ww
  4. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Wabunge kutoka Zanzibar watoka nje ya Bunge wakishinikiza Muungano ujadiliwe

    kama wapemba hawataki muungano wasepe tu hatuwalazimishi.....
  5. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Kwa mafisadi mbaya lkn kwa wengine bora aishi milele..
  6. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Rais Je, ni kweli wapinzani hawana uzalendo, maadui na hawapendi maendeleo?

    kama mnakubali kununuliwa si njaa zenu? anaweza kuuza ata....
  7. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Mtatiro/Zitto: Sherehe za Bombadier zikiisha tuhesabu hasara za ATCL, tumelipa dola mil 60 kukomboa ndege zilizokamatwa

    ikifika 2020 zito tupa kulee...kila kitu yy kupinga tu
  8. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    mtasema sana mwaka huu bado kuna zingine 3 zinakuja ....teh teh teh
  9. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Zindua zindua ya Rais Magufuli; hivi hanaga kazi zingine za kufanya?

    kama vipi mwambie mboe na yy akazindue..
  10. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

    teh teh teh teh teh ....uyu ndo magu ..yeye Kazi 2 twenty twnty amna company....
  11. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    waliosema ndege haiji bongo wamebaki chaliiiiii.....na zingine 3 zinakuja...
  12. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

    na bado kunazingine zinakuja soon....mtasema sana tu.....
  13. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Huenda Nyota Kali za akina Diamond na Wema tukiambukizwa wengi tutafanikiwa kimaisha

    kabisaaa awa jamaa wana nyota kali.....
  14. hamisi kipango

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumelipa ndege tarehe 29 Machi 2018 na kesi ikafutwa! Sijui imetoka kwenye bajeti ipi na nani kawajibika...

    imelipwa au aijalipwa tulitaka ndege ije bongo ifanye kazi baasiiii....
Back
Top Bottom