Recent content by Hamis22

  1. H

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la wanafunzi vyuo vya elimu ya juu Tanzania: Taarifa kwa vyombo vya habari

    Wala sio bodi wanao hujum wanafunz wala hawawez kukiuka agizo la Mh.Raisi, naskitika sisi kama wanafunz tuliahidiwa mengi sana kipind kile cha kampeni hata wazazi wetu walitusisitiza tumpgie kura Mh.Raisi lakin leo zile ahadi ziko wapi, Hivi ni nani atakae kuwa mkweli na kuzingatia ahadi zake...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la wanafunzi vyuo vya elimu ya juu Tanzania: Taarifa kwa vyombo vya habari

    K/Mkuu Daniel zenda, kwanza kabisa ni shukuru jitihada zako lakini kaa ukijua hata sisi _diploma to degree_ tuna haki ya kupata mkopo umetaja mambo kibao kama yatima,ufaulu wa juu,maskini n.k, lakini swala la diploma to degree ume hide dhahiri unaonyesha unarudia kosa lilelile la bodi kuona...
  3. H

    JamiiForums Tanzania HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

    Serikali kwann mnafanya hivi?? Kumbukeni kama nyinyi muna uwezo wakusomesha watoto wenu bila mikopo lakini kuna wazazi wenzenu wanaishi maisha duni ikiwa urithi wa mtoto ni elimu kweli elimu tutaipata??? Wanaondelea kupata mkopo vipi Leo muwafutie mikopo kwan hapo mwanzo hamkuyaona haya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma, fungeni hivi vyuo

    Mh.Raisi naomba hili swala ujaribu kulifkria kwa umakini kwani tuliotoka diploma tuna haki ya kupata mkopo tumetoka ktk familia duni,background ya Shule tulizo soma ni za kata wengne hata kufel kwetu diploma ni kwasabab ya uduni wa maisha Mh.Raisi, moja ya Sera zako nikuwa nufaisha mkopo kwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma, fungeni hivi vyuo

    Ww nafkri hujaelewa kinacho zungumziwa ni wanafunz kutoka diploma kwenda degree ndo hawana mikopo.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa mgawo wa mikopo ya wanafunzi kupitiwa upya

    Serikali yangu tunaomba angalau mtuonee huruma, idadi tulio apply ni 88000 na kla mmoja wetu amechangia tsh.30000 ambayo ni kiizidisha yan 88000×30000=2,640,000,000tshs. Nafkr wot u doing is just to add some amount ambayo utaweza kutusaidia waombaj wote tunufaike na hii mkopo ili tuweze...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Huku tunapoelekea sijui kwa kwel tu naomba haki na huruma itendeke hapa Mh.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Haiwezekan MTU mzima tena Mh. utoe kauli kama hii kuwa TV na pombe ndonn??? Nnachotaka kusema hakuna kitu kbaya kama ulimi Mh. Raisi tunakumbuka ahadi zako wakt ule wa kampen by otherway we seek for studying kununua TV na pombe ni option ya mtu, hiyo pesa its debts kwann isimangwe sana ndotupewe
Back
Top Bottom