- Thread starter
- #21
Diploma to degreehiyo ni mada mpya nikuulize ni nchi gani afrika inatoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma
Diploma to degreehiyo ni mada mpya nikuulize ni nchi gani afrika inatoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma
Acha kudanganya nimesoma diploma na mkopo kama kawa nimepata.kwa hiyo umefurahi kupotosha!!!? jamii mwenyewe nimesoma DIT na hakuna mkopo tulikuwa tunapewa nachojua mnapewa pesa ya field tu 444000 kila mwaka na mkiwa chuo mnapikiwa chakula ukijiunga na degree ndipo unapewa mkopo mda mwaingine muache porojo.
Walikuwa Nayo... Kama Pale DIT Rafik Zangu Wengie Tu Wamesoma Pale Miaka Ya 2009/2012 Na Walikuwa Wananufaika.Inaonekana watu wengi hamjui lolote kihusu mfumo wa elimu. Tangu awamu ya kwanza hadi ya nne, wanafunzi wa Diploma hawana mkopo , elimu haikufa, leo ndo ife?
Diploma wanasoma miaka 4 ?Niko nao hapa chuoni mwaka wa 2..3.na w
4
hiyo ni mada mpya nikuulize ni nchi gani afrika inatoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma
Nazungumzia wanafunzi waliojiunga na drgree kwa sifa za diploma... mbona mgumu kuelewa wewe.Diploma wanasoma miaka 4 ?
Haya unayoyaongea hayapo Tanzania
Nimesoma mist (must) diploma ya Civil Engineering nta4 to nta6 na tulikuwa tunapewa mkopo me ada nilikuwa najilipia laki 3 kwa mwaka inayobaki ilikuwa inalipwa na serikali ya J.K wakati mtu ambaye n private alikuwa analipa m1 na laki 5 n kipindi cha field nilikuwa napewa laki 5 boom la fieldInaonekana watu wengi hamjui lolote kihusu mfumo wa elimu. Tangu awamu ya kwanza hadi ya nne, wanafunzi wa Diploma hawana mkopo , elimu haikufa, leo ndo ife?
Tatizo umekurupuka kuandika hii mada,ungetulia chini ukaandika vizuri ungeeleweka.Ulichoandika unamaanisha wanaosoma diploma wamenyinmwa mikopo baadae unasema walio mwaka wa 4,Ninachofahamu kuwa wanaopewa kipaumbele kwenye mikopo ni wale waliotoka directly form six wanaingia na kwa diploma ni wachache sana wanaopewa mikopo (wenye passmark za juu)Nazungumzia wanafunzi waliojiunga na drgree kwa sifa za diploma... mbona mgumu kuelewa wewe.
Inshu si pass mark za juu. Diploma wote waliosoma kozi za kipaumbele walikuwa wanapewa mkopo..ili mradi wamepata chuo na wameaoma kozi za kipaumbele.Tatizo umekurupuka kuandika hii mada,ungetulia chini ukaandika vizuri ungeeleweka.Ulichoandika unamaanisha wanaosoma diploma wamenyinmwa mikopo baadae unasema walio mwaka wa 4,Ninachofahamu kuwa wanaopewa kipaumbele kwenye mikopo ni wale waliotoka directly form six wanaingia na kwa diploma ni wachache sana wanaopewa mikopo (wenye passmark za juu)
Nawafahamu waliosoma diploma na kupata mikopo mwakajana na juzi,Inaonekana watu wengi hamjui lolote kihusu mfumo wa elimu. Tangu awamu ya kwanza hadi ya nne, wanafunzi wa Diploma hawana mkopo , elimu haikufa, leo ndo ife?
Mleta mada yuko sahihi sana na mada yake inaeleweka vizuri, wanafunzi wanaohitimu diploma wanaomba mikopo ili kuendelea na degree serikali inalijua hili na Magufuli anajua.Tatizo umekurupuka kuandika hii mada,ungetulia chini ukaandika vizuri ungeeleweka.Ulichoandika unamaanisha wanaosoma diploma wamenyinmwa mikopo baadae unasema walio mwaka wa 4,Ninachofahamu kuwa wanaopewa kipaumbele kwenye mikopo ni wale waliotoka directly form six wanaingia na kwa diploma ni wachache sana wanaopewa mikopo (wenye passmark za juu)
Kwa uwelewa huu sishangai sbb umerithi kwa baba yako Juma pumba maharagwehiyo ni mada mpya nikuulize ni nchi gani afrika inatoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma
una uhakika?Hujaelewa hoja yake
Ni kwamba watu woote wanaotoka diploma kwenda degree wamenyimwa mkopo
sio kweli usidanganye jamii.Ninasema diploma to degree
jibu nilicho kuulizaKwa uwelewa huu sishangai sbb umerithi kwa baba yako Juma pumba maharagwe
Mbona JK alikuwa anatoa tena mpaka kwa wanafunzi hewa, Iweje awamu hii?
Unakurupuka hata mada haujaielewa, nyie Lumumba mna matatizo sana
nani kakwambia hawapewi mkopo?Diploma to degree
acha ujinga wewe wanafunzi wa diploma wanapewa mikopo mimi mdogo wangu alikuwa na diploma ya it kapewa mwaka jana,mwingine diploma ya ualimu kapewa sema serikali ya viwanda imechemshaInaonekana watu wengi hamjui lolote kihusu mfumo wa elimu. Tangu awamu ya kwanza hadi ya nne, wanafunzi wa Diploma hawana mkopo , elimu haikufa, leo ndo ife?