Recent content by hamis hasan

  1. hamis hasan

    Hivi hili jina Mwendazake wanalomuita Magufuli ni official?

    MWENDAZAKE :neno hili humaanisha mtu ambae hakufanya chochote kwa jamii Bali alifanya yote yanayomuhusu mwenyewe hivyo yoote aliyoyanya ni ya kwake mwenyewe hili ni tusi kubwa Sana ,Ina maanisha amekufa na ameondoka na vyoote hakuacha chochote kwa jamii yeyote ,familia, ndugu ,jamaa,rafiki...
  2. hamis hasan

    Lowassa apaniki baada ya kusikia kuhusu Mafuriko ya Mwanza

    Inatia huruma sana angekaa tu home asubiri kura la sivyo hii Hali itagharim taifa zima
  3. hamis hasan

    Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikaangoni kwa dakika 150

    Mnamwita kamanda ni sawa na bure maana hawezi vita kwani na hii vita mojawapo
  4. hamis hasan

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Ni kweli maana hawezi kusimama dkk 45 bora kabisa
  5. hamis hasan

    Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

    Akamalizia akisema Kua hata huku wachaga wapo mrutheli na mkabila mwenza
  6. hamis hasan

    Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    Huo wimbo wa wapi? Sema ccm Mbele Kwa mbele
Back
Top Bottom