Recent content by Hamis Abeid mr amazing

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

    Kwanini iwe Wema isiwe TID? em tuweni serious kwenye haya mambo tusiingize ushabiki
  2. H

    JamiiForums Tanzania AINA ZA NDOA

    Aina za ndoa... 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Prof. Kabudi anaweza kuongea wakati wa kula?!

    Toka lini na wewe ukawa mtabiri? tuache siasa kwenye professional. Prof Kabudi ni mtu makini sana na alistahili kuwa hapo ili alitumikie Taifa letu. Tumuunge mkono bila kujali itikadi ya vyama vyetu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Mwalimu ni mwalimu tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Never sio kwa huyu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Time will tell
  7. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Tumpe muda, ni mtu makini sana kupata kutokea
  8. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Mwalimu ni mwalimu tu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Prof Palamagamba Kabudi mtaalam wa sheria Afrika na duniani ambae alikuwa ni Lecturer wa sheria UDSM pia mwanasheria mkuu wa chuo UDSM. Anaenda kulitumikia Taifa lake ndani ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi naweza sema Prof anaenda kuwa mwarobaini kwa wanasiasa wafanya fujo za...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Piga chini michepuko

    Mimi Hamis Abeid (mr amazing) naungana na watanzania wenzangu katika kampeni ya "PIGA CHINI MICHEPUKO" ili kulinda heshima ya mahusiano na kupunguza kasi ya maambukizi ya magonjwa. PIGA CHINI MCHEPUKO WAKO! mwanzilishi wa kampeni
  11. H

    JamiiForums Tanzania Motivational words

    Change is never easy. Work hard at what you want till it becomes part of you. No quick fix solution. Do it till it's hard for you to go back to your old way of doing things. #HAPAKAZITU
Back
Top Bottom