Hilo sijawahi kuuliza, ila watafute mwenyewe uwahoji zaidi, Mimi nilichukua kerege Amani Mwezi Wa pili. Na nikaja kuchukua Kigamboni Beach, Nilichokipenda kwao wapo systematic, Na waelewa, ukifanya nao biashara hadi mkashindwa basi itakua umekwama kweli.
Mchek Huyu jamaa yupo hapo, 0786133399...
Umewajulia watu kaka. Mimi ni mmoja wa Wateja wao, na nipo nao tangu mwaka Jana. Nilinunua kiwanja Bagamoyo kerege, Kwa mkopo wa Mwaka na nusu.
Kuhusu Uhakika wa Huduma za miradi jamaa wako vzr, Nilijaribu kunua hapo kerege lakn mwanzoni sikua na Imani kabsa.
Nilienda site siku yakwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.