Pja property na viwanja vyao vya mikopo- je wako genuine ??

Sethshalom

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
581
1,000
Habari za weekend wadau
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi kununua viwanja kwa hawa wanaojiita PJA Property , je viwanja vya ni genuine ,hakuna utapeli.
Kama kuna mapungufu naomba aliewahi kununua kwao atupe experience ili tusije kuingia njia isiofika
Asante sana kwa maoni yenu
Weekend Njema
 
mimi ni mmoja wa wateja wao katika baadhi ya projects walizo nazo,niseme tu ule ukweli jamaa wapo vizuri kihuduma na wanajali wateja wao,maana mimi ni mmoja wa wateja wao wasumbufu kwenye marejesho ya mikopo ya viwanja,ikifika tarehe ya rejesho wanakupigia simu kukumbusha,wahudumu wao Wana lugha nzuri za kibiashara na ni waelewa.endelea nao tu kama umeanza
 
Umewajulia watu kaka. Mimi ni mmoja wa Wateja wao, na nipo nao tangu mwaka Jana. Nilinunua kiwanja Bagamoyo kerege, Kwa mkopo wa Mwaka na nusu.
Kuhusu Uhakika wa Huduma za miradi jamaa wako vzr, Nilijaribu kunua hapo kerege lakn mwanzoni sikua na Imani kabsa.
Nilienda site siku yakwanza nikaoneshwa eneo, lakn halikua limesafiswa. Nikaona hawa ndio walewale. Nikaachana nao lakn wakawa wanaendelea kunipa updates ya viwanja vinavyozidi kuuzika. Nikaona kama wapo serious hivi,
Nikaamua kwenda moja kwa moja officini kwao kupitia mikataba kwanza na uhalali wa office kama imesajiliwa.
Nimehakiki kweli wanafanya kazi kihalali, nikaamua kuchukua hapo kerege ingawa halikua limesafishwa, wakatupa muda baada ya miezi mitatu litakua limesafishwa na ndani ya miezi sita upimaji utakua umekamilika.
Kweli baada ya miezi 6 nikaona wamepanda mawe na kuniambia nikifikisha 75% ya malipo naweza kuanza kujenga na nikimaliza napata hati. Tayari kuna mmoja ameshajenga kwenye eneo.

Jamaa wako vzr kwa upande wangu na wamenisave kwenye kwenye kubana matumizi ya pesa nakufanya vitu vyamaana.

Ila wanaushawishi mkubwa sana, kama huna pesa unaweza kujikuta unakopa kwingine ili ukope kiwanja.
 
Ni kampuni ya wapi na viwanja vyao viko wapi?wanakopeshaje hebu tiriririka hapa mkuu utatusaidia wengi ila kusema tu PJA wengine tutajua ni Paulo James Abdalah
 
Hilo sijawahi kuuliza, ila watafute mwenyewe uwahoji zaidi, Mimi nilichukua kerege Amani Mwezi Wa pili. Na nikaja kuchukua Kigamboni Beach, Nilichokipenda kwao wapo systematic, Na waelewa, ukifanya nao biashara hadi mkashindwa basi itakua umekwama kweli.
Mchek Huyu jamaa yupo hapo, 0786133399 kwa maelezo zaidi.
 
Umewajulia watu kaka. Mimi ni mmoja wa Wateja wao, na nipo nao tangu mwaka Jana. Nilinunua kiwanja Bagamoyo kerege, Kwa mkopo wa Mwaka na nusu.
Kuhusu Uhakika wa Huduma za miradi jamaa wako vzr, Nilijaribu kunua hapo kerege lakn mwanzoni sikua na Imani kabsa.
Nilienda site siku yakwanza nikaoneshwa eneo, lakn halikua limesafiswa. Nikaona hawa ndio walewale. Nikaachana nao lakn wakawa wanaendelea kunipa updates ya viwanja vinavyozidi kuuzika. Nikaona kama wapo serious hivi,
Nikaamua kwenda moja kwa moja officini kwao kupitia mikataba kwanza na uhalali wa office kama imesajiliwa.
Nimehakiki kweli wanafanya kazi kihalali, nikaamua kuchukua hapo kerege ingawa halikua limesafishwa, wakatupa muda baada ya miezi mitatu litakua limesafishwa na ndani ya miezi sita upimaji utakua umekamilika.
Kweli baada ya miezi 6 nikaona wamepanda mawe na kuniambia nikifikisha 75% ya malipo naweza kuanza kujenga na nikimaliza napata hati. Tayari kuna mmoja ameshajenga kwenye eneo.

Jamaa wako vzr kwa upande wangu na wamenisave kwenye kwenye kubana matumizi ya pesa nakufanya vitu vyamaana.

Ila wanaushawishi mkubwa sana, kama huna pesa unaweza kujikuta unakopa kwingine ili ukope kiwanja.
Ofisi zao zipo maeneo gani?
 
Na wanauliza na kujibizana wao kwa wao wakifikiri tunaopitia uzi huu wote ni mafala.
Mimi sina any direct interest na hii kampuni except that niliona Viwanja vya nikawa nataka kulipia. Kwa kutaka kupunguza risks nikataka kujiridhisha kwa kufanya vetting bila wao kujua ,ndio nikaomba maoni ya wadau wa jf kama wanaijua na ni genuine ili jisije kuingizwa mjini. So asante kwa maoni yenu.
 
Back
Top Bottom