Recent content by hamiii

  1. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Wish niumute huu uzi naona umejaaa matusi tu, mmoja anielekeze.
  2. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Andika vizuri aisee halafu pangilia uende mbele urudi nyuma!!!
  3. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Yaan hata kuandika hujui, ile unaandika hile, kama hukudhamiria kutoka nje ya ndoa ungekaza, yaani wiki tu hivyo akisafiri miezi ama akilazwa mwaka Umalaya tu……
  4. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Wachawi wanakukula wewe
  5. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Haaa haaaa sawa
  6. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Vijana Mnachukua notes Lakini!!???
  7. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Mashallah, nimepata safar kikaz kdg narudi early October.
  8. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Limeisha hilo, i will confirm date and time
  9. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Haa haaaa kuna turkish tu shawarma zao
  10. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Ubungo area there are nice places for sitting and catch up
  11. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Dsm..
  12. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Nataka coffee date with you…. Ennnh
  13. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Let me tell you bro, Usiwe na haraka naye, boresha mawasiliano naye na kama si mbali sana, basi mtembelee over the week end moja mbili hivi, ufikapo huko chunguza vizurii na utapata uhakika, Ukiridhika na utakayo yaona basi usiku amka na usali swala ya maongozo hakika allaha atakufanyia wepesi.
  14. hamiii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

    Niseme kitu, jambo sio kuwakandamiza nadhani ni uwasilishaji wa mtoa mada (imamu) siku hizi imamu uonekane uko vizuri lazima utie maneno ya shombo na watu wacheke Ila pointi ni kuwa mwanaume ni centre of attraction ama kiungo kikuu (ugali) lakini si ati kuwakandamiza wanawake la hasha...
Back
Top Bottom