Recent content by HAMIDU LINGUTA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kienyeji yana athari yoyote katika afya ya uzazi?

    Kwa kiasi kiku bwa madawa ya kienyeji(local medicines) yanamchango mkubwa kwa wamama wajawazito kwani mama mjamzito anapofikisha miezi kadhaa karibia na kujifungua husumbuliwa na matatizm mbali mbali ambayo hata hukitumia modern medicines hakuna matunda yeyote yanayo patikana.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sserunkuma Atakuwa Kama Tambwe

    Mambo ya magazeti hayo yapo tu mbona yanga au kandambili walisajili Jagi(Jaja) na hakuna matunda yeyote ambayo aliyaonesha katika timu hiyo wakati mwanzo kabisa walianza kumnadi kwenye media mabali mbali na mwishoweee kumbe ni takataka tena ya muda mrefu Ila kwa moto huu wa msimbazi cyo media...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    May be Azam tv
  4. H

    JamiiForums Tanzania Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

    Yaah PASCO kwa unacho ongea ni sahihi kabisa kwani wengi wa wananchi ni Ignorants na hawataki kufunguka kwa wanacho kiona na kusikia ila kwa hili tuna hiachia serikari yenyewe na bunge lake ili tujionee kitakacho tokea maana hiyo serikari si ndiyo inayo tuongoza sisi na hao waliochukua hizo hela...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu anaenda wapi huyu dogo?

    maaaama huyu dogo
  6. H

    JamiiForums Tanzania Unahitaji true love siku zote, Je bila true money true love inawezekana?

    acha hizo mkandamizaji wangapi wana wapenzi wao halafu hawawapi hela.Huo ni uongo jembe
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    matongolokoswe-tunduru
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    kidodoma,chiwana
Back
Top Bottom