Recent content by hamicbaja

  1. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    Kwahii inchi swala la katiba ni kizungumkuti...sana sizan kama litakuja kufanyia kazi...maana 75% is for Ruling Party only...,,,Ila serikali wanatakiwa iliweke kama somo mashuleni wanafunzi wajifunze ili unapokuja kukosoa uwe na evidence za kutosha...tatizo watu tunaongea sana bila fact...
  2. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

    Meneja masoko wa kampun ni shoga....!!!
  3. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Kuna kampeni ya kuumiza wachezaji wetu.

    Miongoni mwa viongozi mazuzu...kwenye Simba Sc ni huyu mwamba....huyu si alisemaga kwamba malengo yetu ilikuwa ni kumfunga mtani....na tumefanikisha....kwl huyu ni zuzu..... Hiyo kampeni hakufanyie nan wakati huna rotation ya wachezaj kila mechi ni hao hao....HAWACHOKI.....???
  4. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Hasheem thabit aludi nchini kuchezea paz

    Town kugumu kwa yeye...!!!
  5. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Kwanini weekend hii mechi za Ligi Kuu hazifanyiki, shida nini?

    Tutaongea hadi tuchoke inakuaje Ligi ya Tano Afrika ,,haraf hakuna refa atammoja alieitwa na CAF katika Tournament za Caf...??
  6. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Bikosports kikundi cha matapeli ? ?

    Mchezo wa kweli ni m-bet&sport pesa hawawengi hakuna kitu.........washindi wengi ni wa dar es salaam cjawahi kusikia mshindi katoka kigoma
  7. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe na amani na 1.5triion yetu

    Hihihihihi
  8. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    Kutokuwa na akili Ndyo tatizo lako nahc kazi ya kihuni mafanikio kibao ww komaa kusema kazi ya kihuni wenzako wanatembelea matako we kila siku unamaliza soli............. Funguka akili ww
  9. hamicbaja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mbona wasanii wakubwa wa Bongo hawaoi nyumbani

    Wadada wa bongo wapuuzi wapo bize na skendo na wala siyo kujistiri...... Harafu ni wabaya tu... Pongezi kwa aunt Ezekiel aliyekubali kuishi na dancer pole yake wolper aliyekataa kuishi na ile kunguru ya kimakonde sasa hz yupo bize kupost picha instagram na Yale meno yake yaliopandana.....
  10. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    Usanii ni kazi kama kazi nyingine..... Mbona masanja ni Mchungaji lakini ni sharobaro..... Na pia amoa hilo amlijui harafu team [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] mnashida
  11. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] team Domo mnashida we ulifikiri Amina ni bikra..... Mondi aliyeenda kumpapalikia mzee
  12. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    [emoji847][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] team domo
  13. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

    Hiyo Ndyo fundisho si wananionaga wazuri,,, wakaolewe na Domo sasa au harmorapa
  14. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Rais Magufuli, Serikali yako imechafuka, chutama uweze kujisitiri

    Duuuuuh good speech
  15. hamicbaja

    JamiiForums Tanzania Tamko: CHADEMA wayakataa matokeo ya Uchaguzi wa Marudio.

    Poor
Back
Top Bottom