Recent content by Hami22

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mtu kuchukua pesa NSSF kabla ya kuacha kazi?

    [emoji15][emoji15]
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mtu kuchukua pesa NSSF kabla ya kuacha kazi?

    Na je kama hutaki kuacha kazi je? Mwajiri hawezi kukupa barua unachukua pesa yako na ukaendelea na kazi hiyo hiyo?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naogopa atanizalia watoto waislam

    Af Mbona huku sio jukwaa la kutuma hivi? Au nakosea
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naogopa atanizalia watoto waislam

    Siumwambie mkeo akuzalie?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mtu kuchukua pesa NSSF kabla ya kuacha kazi?

    Habari wakuu, ninauliza naomba nijue, ninahitaji pesa nichukue NSSF za akiba yangu na kazi bado ninaendelea Je, inawezekana? Kazi ni private sector.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi au anayefahamu Biashara ya juice ya miwa

    Habari wakuu, ninampango wa kununua mashine ya kukamua juice ya miwa naombeni mawazo yenu, ushauri na changamoto. Malengo yangu ninunue mashine niikodishe kwa kijana, nitafute site kariakoo Dar then huyo kijana awe ananilipa kwa siku. Aliye na ushauri jmn naomba msaada wa mawazo plz ndy kwanza...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    M mwenyewe kuna kijana ananiringia htr siku nikifa ndy ataelewa [emoji23]
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Ngoja niasume kaoa [emoji23] tuanzie apo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Me jmn kumbe nmekosea kuandika
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Kakosea yeye nmekasirika ila wapi nikaona nijishushe napo kakaza [emoji23][emoji23] anaringa sana af mwanaume
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Nishafanya sana ila wapi [emoji23][emoji23]
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Me
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Kazingu nmemaindi na hajashuka na nimeshuka bado kakaza [emoji23][emoji23]
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Sizani ka alikuwa ananipenda sana maana kanikwaza yeye nmemzingua tuachane kakausha now hajibu sms ya kuhusu mahusiano ila kwa issue nyingine ukimuuliza anajibu vzr tu
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Ni week ya tatu sasa kijana hanitoki kichwani jmn[emoji23][emoji849] sielew Duuh natamani arudi au nimrudisheje [emoji23] nipeni connection za wataalam [emoji16] Anyway nyiee mnatumia mbinu gani kumsahau mtu mlieachana ikiwa unampenda? Hatujazaa, hatujafanya maendeleo yoyot alikuwa mpenzi wa...
Back
Top Bottom