Recent content by Hamadi komboza

  1. H

    JamiiForums Tanzania Albert Msando Ajiunga CCM leo

    Uamuzi wake uheshimiwe. Sababu na ukweli anaujua mwenyewe
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wazazi,walezi na vijana Lulu ni somo kwetu

    Mm! Kabla hujafa hujaumbika. Kila likufikalo lina sababu nawe kila jambo likufikalo unatakiwa umshukuru Mungu.Tunatakiwa tufuate maamrisho/maagizo ya Mungu kwani milki yote ni yake. Kukpsea njia ndiyo kujua njia
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete nachukua fursa hii kukuomba msamaha kutoka ndani ya moyo wangu samahani sana

    Jamani mwacheni Mzee wa msoga ajipumzikie aendelee kula mananasi yakimchosha aende l'île waja leo waondoka Leo akale mihogo ya nazi kwa uwono bila kusahau kwenda Rskazone akale madafu, apunge upepo mwanana, mwenyewe anajua
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

    Muombe Mungu akutangulie katika biashara yako. Usisikilize masemo ya kukukatisha tamaa angalia yako
  5. H

    JamiiForums Tanzania Said Ndemla atua Sweden salama, tayari kwa majaribio

    Namtakia mafankio, maisha Ni mapambano, kama wengine waliweza kwa nini isiwe yeye ?) kama wengine walishindwa si lazima yeye.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Magufuli anaongoza nchi kidikteta, wananchi msiogope kusema ukweli

    Watanzania tuendelee kupendana tudumishe umoja, amani na mshikamano ndiyo asili yetu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kadri ninavyochapa wake za watu ndivyo hamu ya kuoa inapotea

    Ujinga hausifiwi
Back
Top Bottom