Kwani ashaapishwa hadi useme hajapigiwa kura na bunge? Mchakato bado na kwa kuwa vikao vimeanza jana jina litapelekwa na kama kawaida ya bunge letu atapata 101%
Nadhani hii nchi tuna tatizo kubwa sana ambalo hata sisi huenda hatulijui. Ukiachana na ukweli kwamba hapo juu wote hawafai ila ni ajabu kwamba hadi Jokate naye anawekwa kwenye hiyo list!!!! Kwamba siku moja wa kuitwa mama aking'ata shuka huyo Jokate awe rais wa nchi hii🤭🤭
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.