Recent content by ham ha

  1. ham ha

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    msaada hii S0947/0571 dr olsen secondary
  2. ham ha

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    mwenye link ya dr.olsen s0947 msaada tafadhali
  3. ham ha

    Msaada tecno L6 imetoa mstari mwekundu kwenye kioo

    Sorry niliscreen capture kumbe haujaonekana lakini kwenye screen yangu mstari unaonekana
  4. ham ha

    Msaada tecno L6 imetoa mstari mwekundu kwenye kioo

    Wakuu naombeni msaada tafadhali
  5. ham ha

    Msaada tecno L6 imetoa mstari mwekundu kwenye kioo

    Wakuu, simu yangu imetoa mstari mwembamba kwenye screen Kama inavoonekana...naomba msaada wa kurekebisha
  6. ham ha

    Series (Special thread)

    Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogo
  7. ham ha

    Series (Special thread)

    Moja Kati ya series nazozikubali sana
  8. ham ha

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    Wataalamu hamna anaefahamu bado inanisumbua
  9. ham ha

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    St card ipo wapi mkuu?
  10. ham ha

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    Inachelewa ndio mpaka simu iishe chaji siunajua phantomz z min betri ni built in.
  11. ham ha

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    Habari wakuu, simu yangu inatatizo la inastack halafu screen inakua na mwanga wakijani, baada ya mda inakua black mpaka betri iishe ndo inawaka tena kawaida...tatizo itakua nn msaada tafadhali. Betri yake ipo ndani kuichomoa ni tatzo betri yake ni built in... kuizima ni mpaka betri iishe...
  12. ham ha

    Series (Special thread)

    War at home
Back
Top Bottom