Recent content by ham d ibrahim

  1. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania MSAADA JINSI YA KUDOWNLOAD MOVIE ZENYE HD KWENYE SAMSUNG

    sasa hii mbona uwezi surch movie
  2. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania MSAADA JINSI YA KUDOWNLOAD MOVIE ZENYE HD KWENYE SAMSUNG

    ok shukran ziendeee kwenu ila showbox nishawahi itumia lakini huwa inachukua muda mchache sana na badae inakuwa haifanyi kazi
  3. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania MSAADA JINSI YA KUDOWNLOAD MOVIE ZENYE HD KWENYE SAMSUNG

    naomba msaada kwa wale wenye kujua njia za kupata movie zenye quality nzuri kupitia simu ya android
  4. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Thinking Critically: Kwanini Rais Magufuli hajaenda Simiyu kuzima mwenge?

    mmmmmmh akili kumkichwaaa
  5. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

    mmmmmh
  6. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu haya malipo ya dola

    unalipwa aje sasa
  7. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu haya malipo ya dola

    jamani siku hizi kumeibuka website nyingi zikisema MAKE MONEY ONLINE kuna ukweli wowote kuhusu iki kitu maana wanasema wanalipa kwa dola ukisoma matangazo habar n.k kuna mtu yoyote ambaye ameshafanikiwa na hizi habar.?
  8. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    0672915850 niungeee
  9. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-unlock icloud kwenye iphone 4s

    Jamani naombeni msaada wa kurekebisha au kutengeneza au hata ushauri wa kufanya katika simu yangu. Tatizo kubwa ni ina lock ya icloud. Nawasilisha.
  10. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kufungua akaunti mpya ya Paypal

    ndugu naweza pata masiliano yawe kupitia whsp kama itawezekan ili unisaidie kidogo my nunber0672915850
  11. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kufungua akaunti mpya ya Paypal

    sawa nitafanya icho kitu ndugu
  12. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makande

    karanga za kusaga kwa wingi hapo ndugu.
  13. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kufungua akaunti mpya ya Paypal

    hapo tatizo lipo kwenye kulinkcard ndugu
  14. ham d ibrahim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kufungua akaunti mpya ya Paypal

    hapo ndipo ninaposhidwaaaaaa
Back
Top Bottom