Recent content by halley from city

  1. halley from city

    Kwa watalaam wa Lens za camera

    Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini?
  2. halley from city

    Kwa walio serious tu. Ps4 fat inauzwa kwa offer

    KAMA UKO SERIOUS; Sidhani kama uko serious na hii biashara utashindwa kuchukua hii ps4. Chukua ps4 fat, ina game la GTA Imechipiwa, Bado mali ni mpya tuu. Pad hizo apo ni mpya. Kwasababu halina game la mpira naliuza kwa 450k top. Ila, kama uko dar nakupa connection pa kwenda kuweka games bure...
  3. halley from city

    Can you name a song which talks about true love, deep feelings of lovers, etc?

    Nilitegemea ngoma za HISIA kali WESTLIFE wakidorminate lakini naona watu hawawapi attention BUT for me.. Wale vijana wananafasi kubwa sana kwenye kichwa changu.. Nina zaidi ya nyimbo 80+ na hakuna nyimbo mbaya..zimetulia . Sio watu wale
  4. halley from city

    Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

    Wanaleta dharau vijana hawa! Yes weeknd ni fundi hits kibao na kali.. lakini huyu kijana fala fala Ed ni Maangamiziiiiii...kwanza haiwezekani!
  5. halley from city

    Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

    NI UKOSEFU WA ADABU KABISA NA NI MATUSI KUMLINGANISHA Ed sheeran na The weeknd.. Ed huyu huyu ? The weekend anaimba na ni msanii hatari sana lakini Ed sheeran ni moto mwingine, Mashairi yake sio ya mchezo mchezo.. Huyu fundi wa guitar? Perfect Shape of you Photography Penguin Visiting...
  6. halley from city

    Arusha hakuna Valentine! Imeisha hiyooo

    Ugumu wenyewe wanaigiza tu,usela hawana ni ushamba tu na mibangi kichwan
  7. halley from city

    Arusha hakuna Valentine! Imeisha hiyooo

    Hawa nao tumewachoka
  8. halley from city

    Balo la viatu vya Mtumba

    Connection mkuu
  9. halley from city

    INAUZWA CAMON17 inamiezi miwil

    Ngoja tujaribu boss ,haina jinsi
  10. halley from city

    INAUZWA CAMON17 inamiezi miwil

    🙏🙏 Okey
  11. halley from city

    INAUZWA CAMON17 inamiezi miwil

    Kwanin mkuu?
  12. halley from city

    INAUZWA CAMON17 inamiezi miwil

    Ndo kama hiyo hiyo mkuu ila inatout kidogo tuu,
Back
Top Bottom