Huawei Ascend G6
Mpya kabisa haijatumika.
Ram 2 GB
Storage 4GB
4G
Mpya ktk boksi lake utapewa kila kitu
Bei 500,000
Au kama kuna mwenye smart phone iliyoko ktk hali nzuri tunaweza kubadilishana kwa 400,000.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki PM
Picha
Kwa amani ipi tuliyokuwa nayo?
Haki hakuna,nchi inaendeshwa kidikteta.
Uhuru wa kutoa maoni hakuna.
Nampongeza aliyeandaa list,sio mnafiki. [emoji122][emoji122]
Kuna siku niliangalia clip ya Tembo akipambana na Simba watatu,ila walifanikiwa kumuua.
Wakati wa mapambano yule Tembo alivyokuwa analia niliumia sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.