Recent content by halima50

  1. halima50

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi fanya interview ukaona kabisa hutoboi?

    😂😂😂😂sitasahau nilifanya interview duce walah nilivotoka nilisema sitoboi mambo yalikuwa mazito
  2. halima50

    JamiiForums Tanzania Dawa kutibu bawasiri

    hiz daw nilishatumia mm ilinisaidia kuondoa maumiv Yan saiz hakiumi hT kidogo ila hakijaisha bado kipo
  3. halima50

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    taasisi gani nikupe maswali niliyowah kukutana nayo..... ila usisahau kupitia job description?
  4. halima50

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Tusaidie connection mkuu nimesomea uwalim wa biology & geog
  5. halima50

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ajira nipo Dar

    ingia kwenye website ya chuo cha Duce Kuna tangazo linakuhusu fanya chap kabla muda wa maombi haujaisha
  6. halima50

    JamiiForums Tanzania Ajira portal ni tatizo

    weka picha
  7. halima50

    JamiiForums Tanzania Anahitaji kujitolea kufundisha somo la Book-keeping na Commerce

    mkihitaji wa biology na Geography nipo hapa
  8. halima50

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya education (Biology na Geography)

    Sawa asante
  9. halima50

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya education (Biology na Geography)

    Dm yangu ipo wazi sijafunga. Naomba nikucheck
  10. halima50

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya education (Biology na Geography)

    Habari, Mwenye connection ya kazi yoyote naomba anisaidie iwe ni kufundisha au nje ya taaluma yangu, nina uzoefu wa kufundisha na Loan Officer. Napatikana Kibaha
  11. halima50

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu mambo haya ya EFD machine katika kitengo cha sales kwenye majukumu ya kazi

    naomba nisaidie jina la hiyo kampuni nami nipambane
  12. halima50

    JamiiForums Tanzania Job opportunity: Sales Man

    ambaye hayupo iringa ila yupo tayari kuja huko amekosa sifa?
  13. halima50

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    wakija tushtuane
Back
Top Bottom