Recent content by halima mushi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana (muuguzi grade 11)

    Jamani hayupo wa pwani aje kilimanjaro
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuhama mwajiri

    Kwa wauguz wanaotaka kubadilishana kituo cha kazi aje moshi mkoani kilimanjaro mimi niende bagamoyo kibaha au morogoro mimi ni registered nurse
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hahaha

    Hahahahahahaaaaaa
  4. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta muuguzi wa kubadilishana kituo aje moshi mimi niende bagamoyo kibaha au morogoro kama upo nichek
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi

    Habarini za asubuh wajameni
  6. H

    JamiiForums Tanzania AFYA: Muuguzi II: Kubadilishana vituo vya kazi

    Moshi hutaki
  7. H

    JamiiForums Tanzania Muuguzi: Naomba wa kubadilishana nae kituo cha kazi

    Mimi nipo moshi
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta nesi wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

    Mosh upataki
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana (muuguzi grade 11)

    Mmmh hivi haya mambo ndio magumu hv mwenzenu nakata tamaa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

    Habari wapendwa wana jf mimi ni registered nurse nafanyia kazi mkoani kilimanjaro wilaya ya moshi natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mkoa wa Morogoro au pwani wilayani bagamoyo au kibaha
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi

    Natafuta muuguzi msaidizi daraja la pili anaependa kufanya kazi moshi kilimanjaro awe kutoka pwani ya bagamoyo kibaha kisarawe mkuranga mlandizi au morogoro tafadhali nijuze
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi afisa muuguzi

    Jamani eeh, kama kuna afisa muuguzi msaidizi daraja la pili anaependa kufanya kazi Moshi awe anatokea Pwani ya Kibaha, Bagamoyo, Mlandizi au Moro anijuze.
Back
Top Bottom