Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

halima mushi

Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
13
Reaction score
4
Natafuta muuguzi msaidizi daraja la pili anaependa kufanya kazi moshi kilimanjaro awe kutoka pwani ya bagamoyo kibaha kisarawe mkuranga mlandizi au morogoro tafadhali nijuze
 
MIMI NI MWALIMU SEKONDARI MKOA KILIMANJARO ...NATAKA MWL.WA KUBADILISHANA KUTOKA MKOA WA LINDI,,,AU MOROGORO.....MJINI ..NAMBA YA SIMU 0756 26 30 39 ,
 
Back
Top Bottom