Recent content by halikela82

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nunua line za tigo pesa kwa bei poa

    Habari wana jf ninazo line za tigopesa naziuza kwa anayehitaji anipigie kwa 0713229993 ni dar
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sasa hii ndio furusa ya kutengeneza pesa

    Line za tigo pesa zinauzwa bei poa kwa anayehitaji nipigie 0713229993 ZIKO MBILI TU
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa serikali za mtaa wa Sinza agongwa na bodaboda,angalia picha

    Pole sana rushwa hizo zingine haziliki
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

    Hahahahaha sasa kama mahali yenyewe kalipiwa atakuwa na mamzi ya maana kwenye familia kweli huyu nakumbuka aligombea ubunge wakamchinja rabda ndo mzee anamfuta machozi au ndio gia yake 2015
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman jaman kwa wenye watoto wa kiume hili letu sote

    Kwa wote mrotoa ushauri nawashukuru sana tena maana mwana dogo anaareji ya vipere miguuni sasa watu wamenambia nimtoe kiroba kwanza kabla ya kuchukua hatua zaidi asanteni sana
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman jaman kwa wenye watoto wa kiume hili letu sote

    asante best
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman jaman kwa wenye watoto wa kiume hili letu sote

    Waungwana habari za nyinyi mwanzenu nina mtoto wa kiume sasa natakiwa kumtahili naomba ushauri kwa dar n wapi naweza kupata mtaalum wa ukweli kabisa ambaye anaweza kumfanyia mwanangu kwa usahihi????
  8. H

    JamiiForums Tanzania Prof J afiwa na mama yake mzazi

    Mamaaaaa wa ukweli nenda mwambie ukweli nyerere kuwa mambo cyo bongo rip
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msichana amuua boyfriend wake kwa kumchoma kisu baada ya kulazimisha penzi kwa nguvu..!

    Heee! Huyu jamaa naye kilaza madem mpaka wa 1000 wapo yeye anataka kubaka
  10. H

    JamiiForums Tanzania Njia za haraka za kuepukana na kukabwa na jinamizi

    Yani umepiga mwenyewe me huwa natumia nguvu mpaka nikahisi majinamizi yananigwaya maana huwa nagundua pindi mambo yanapoanza tu naamka natibua mipango yote kwa jina la yesu.
  11. H

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala mayor Erias Lukwago 'beaten by Uganda police'

    Meya wa manisipa wa jiji la kampala uganda amepewa mkong'oto na polisi hadi akazimia kipigo hicho amepewa jana baada ya kubainika anamuunga mkono mpinzani wa raisi yoweri m7...... sorce mwananchi jumamosi
  12. H

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala mayor Erias Lukwago 'beaten by Uganda police'

    Meya wa manisipa wa jiji la kampala uganda amepewa mkong'oto na polisi hadi akazimia kipigo hicho amepewa jana baada ya kubainika anamuunga mkono mpinzani wa raisi yoweri m7
  13. H

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala mayor Erias Lukwago 'beaten by Uganda police'

    Meya wa manispa ya mji wa kampala uganda amepata mkong'to wa haja mpaka kuzirai ni baada ya yeye meya kumuunga mkono mpinzan wa mseven ambaye ni kiza besigye
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

    Napita umeyajua ukubwani ww ndo maana wanakumilik kama kama njiti kwenye ganda ikitolewa basi inaenda kuteketea tu ila poleeeeeeeeeeeeeeee
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Yatakwisha haya ndugu zangu
Back
Top Bottom