Recent content by Halfan Hamisi

  1. H

    Simulizi: Penzi la Bodaboda

    WASAP: 0754021538 Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina yake. TUANZE NAYO: Dunia imejaa maajabu yeshe kushangaza na wakati mwingune kuchekesha, kuhuzunisha...
  2. H

    Mtoto Mdogo wa kiume alimuuliza Mama yake

    Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?" Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!" Sijakuelewa Mama. "Sijakuelewa Mama!?" Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa" Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...
  3. H

    Simulizi: Mchezo wa Kirafiki

    FAIR PLAY (Mchezo wa kirafiki) Sehemu ya................01 Saa 2:30 Asubuhi, ZAMBE. Gari aina ya Land cruiser lilikuwa likienda kwa kasi sana katikati ya mji wa Nzambe. Ndani ya gari hilo walikuwamo watu wanne wote wakiwa wamefunika nyuso zao kwa vitambaa vyeusi. Katika siti ya nyuma...
  4. H

    Riwaya: Baki na Mimi

    BAKI NA MIMI Email: halfanhamis337@gmail.com Yusto alimaliza kusoma ujumbe huo kutoka kwa Brandina wenye utani ndani yake, akainua macho yake akamtazama Caren akakuta nae anamtazama. "vipi" "mmh poa tu vipi" Waliongea baada ya kutazama kwa muda kila mmoja akaonyesha kama hamna kilichotokea...
Back
Top Bottom