Recent content by Hale Janja

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa kuna Mtanzania atasema hawajui Watekaji?

    Namna pekee ya kuitoa CCM madarakani ni kuingia madarakani. Hakuna Tume, uchaguzi au majadiliano yatakayoitoa CCM madarakani.
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada poa ana bastola......!!??

    Nitumie za Willy Gamba zote. Na nyingine zozote ulizo nazo kaka.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada poa ana bastola......!!??

    Habari mkuu, Samahani una soft nyingine za riwaya za kiswahili? Naomba nisaidie kama unazo boss.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki za mkataba

    Habari, Nakaribia kufungua kampuni ya kutoa ya courier services (delivery), na nimeona gharama za kununua vyombo vya moto kama pikipiki, Tricycles ni kubwa na nikaona ni rahisi kama naweza kutumia pikipiki za mkataba wa miezi 10 hadi 13 kupunguza gharama za kuanzia. Hivyo nilikua nahitaji mtu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Hamna faida hapo, kumbuka kama akitumiwa kwen sim au bank kuna makato ya kutolea😂😂
Back
Top Bottom