Recent content by hakiyako

  1. hakiyako

    Paul Makonda ulishaisoma sheria ndoa ya Tanzania?

    ulishawahi kwenda mahakamani hata maramoja kwenye kesi za aina hiyo ukaona mtu anaaamriwa kutoa shilingi mia moja?
  2. hakiyako

    Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

    kwenye sheria hakuna mtaalu/mganga, ni technicalities za kisheria tu pengine ndio zilikutoa au pengine ushahidi haukutosha High Court wakakuachia. nimedumu kwenye izo ishu za mahakama miaka mingi na nimeamini uchawi haufanyi kazi. tafuta kitabu fulani cha sheria kinaonyesha namna ya kukata rufaa...
  3. hakiyako

    Kwa mara ya kwanza habari ITV iliyomhusu R. Mengi hakuongea, watangazaji wameongea wenyewe na kuonyesha picha yake tu

    so what? kuna tatizo gani, pengine amesafiri au hakujisikia kuongea. una shida gani na hilo.
  4. hakiyako

    Paul Makonda ulishaisoma sheria ndoa ya Tanzania?

    Mkuu, sijaelewa unacholalamika, na uhusiano wa makonda na sheria ya ndoa. kwa vitabu vya aina hiyo, nakushauri bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  5. hakiyako

    Mwanasheria anahitajika kwa ushauri

    tafuta mwanasheria akuandikie barua ya kukuwakilisha ili kesi itoke mahakama hiyo iende mahakama ya wilaya ambako mawakili wanaruhusiwa. Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  6. hakiyako

    Mwanasheria anahitajika

    Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  7. hakiyako

    Yako wapi juu ya shule ya sheria?

    binafsi huwa nahesabu kuwa mwalimu akimfundisha watoto 500 wakafaulu 200 jibu ni kwamba yule mwalimu hana uwezo wa kufundisha. hatufundishi watoto ili wafeli bali wafaulu, na kubania watu maisha haimaaini kuwa ndio unanoa tasnia. nawaonea huruma sana wadogo zangu ambao hawajaapishwa hadi leo...
  8. hakiyako

    Ukipeleka shitaka Polisi kuna ulazima wa kupeleka na mshahidi?

    kuna ulazima wa polisi kuonana nao, kama haujapika kesi mashahidi watakuwepo tu bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  9. hakiyako

    MSAADA

    ndio kuna ulazima huo ili wawahoji na kuandika maelezo yao kesi ikianza waitwe kwa samansi kuja kukutolea ushahidi. unachotakiwa wewe nenda kafungue kesi halafu mpelelezi atakuja kuwatafuta mashahidi wako utakaokuwa umemtajia na kuwahoji. bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) •...
  10. hakiyako

    Naombeni Tanzania Case Reports

    bofya hapa utapata vitabu vya kesi hizo Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  11. hakiyako

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    kama sikosei unatakiwa uwe umefaulu form six. Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  12. hakiyako

    Makala za kisheria: Jinsi ya kujikinga dhidi ya jinai katika maisha ya kila siku

    pitieni vitabu hapa mtajikinga kwelikweli Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
  13. hakiyako

    Msaada wa kisheria tafadhari.

    kama anatumikia kifungo cha nje cha kwenda kufagia tu maeneo ya umma, kwanini asipata nakala ya hukumu akafungua madai leoleo? pia, tembelea web za wanasheria wanauza vitabu
  14. hakiyako

    Vitabu hivi vinahitajika

    soft copy hautavipata, watengeneza vitabu huwa wanakuwa wanaviuza hivyo kukupatia wewe soft copy ili usiwaungishe ni kosa la jinai kwao/impossible. kwa ushauri, tembelea maduka ukanunue. unashauriwa pia kutembelea Vitabu Vya Sheria ~ SHERIA KWA KISWAHILI instagram bofya Sheria kwa Kiswahili...
Back
Top Bottom