Recent content by HAKI USAWA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la waalimu na sensa ya watu na makazi,kazi ipo?

    KUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI KUWA SERIKALI IMEWAONDOA WAALIMU KATIKA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA SENSA; kUTOKANA NA HABARI HIZI BAADHI YA WAALIMU WAMEAMUA KUONGOZA MGOMO WA KUTIHESABIWA KATIKA SENSA HIYO INAYOTARAJIWA KUFANYIKA TAREHE 26/08/12. HII NI HABARI KUTOKA KWA WAALIMU...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Style mpya za kudai haki vyuo vikuu.

    Baada ya Management za vyoo vikuu (vilivyo vingi) kushinikizwa na serikali kuanza utamaduni wa kufukuza watu kiolela wanapodai haki zao eti wanasiasa na hadi sasa wengi bado wako nyumbani kutoka vyo mbalimbali, Je wewe kama mtaanzania unashauri wanafunzi wa vyoo vikuu wadaije haki zao ili...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Waziri wa viwanda na biashara Mh.Cyril Chami (Moshi Vijijini), japo amekiri yuko tayari kujiuzulu sisi wapigakura wake tunamwambia ni bora aachie ngazi mapema maana piga ua hatorudi bungeni ng'o 2015 hata kwa dawa na Mbege. Amedanganya wazee wetu sana kwa ahadi hewa-najua anawaza kujifajiri na...
Back
Top Bottom