Recent content by Hakeem makamba

  1. Hakeem makamba

    Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

    *HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU* *Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta...
  2. Hakeem makamba

  3. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Mtoa mada ana ajenda binafsi na inasikitisha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Umetumwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hakeem makamba

    Makapuku Forum

  8. Hakeem makamba

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Pumba tupu. Maandishi mengi hakuna pointi
  9. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Wanahisa wakubwa wa NMB ni waholanzi. Wanahisa wakubwa wa NBC ni Makaburu.Point yako ni nini hasa?
  10. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Fanya research ndogo ujue Bank gani ina portfolio kubwa ya kilimo nchini halafu urudi
  11. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Una maanisha nini? Roba Bank ni ya uholanzi ina 34% ya NMB. Maana yake ndio wenye kupata gawio kubwa kuliko serikali.
  12. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Nadhani naongea na wrong person. Unawajua vizuri wakulima wa kitanzania? unajua kwanini Saccoss zilipitishwa kisheria ili kuwafanya wengi wao "wakopesheke?". Naomba nitafute muda nikupe lecture kwanza maana naona kuna mengi huyajui.
Back
Top Bottom