Recent content by Hakainde

  1. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Yeye anadai siyo yeye. Wengine wanampa pole na kwamba ajikaze na kusonga mbele. Anadai karipoti polisi kuhusu hiyo connection Ni yeye au wameamua kumchafua tu?
  2. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

    Actus reus= wrongful act/omission. men rea= wrongful intention/mind
  3. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

    Ni "actus reus" siyo "actus leus" "Mens rea" siyo mens lea
  4. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Video za ngono zinazovujishwa kila wakati zimekuwa kero sasa

    Kwani kuna video imevuja?
  5. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

    ISS
  6. Hakainde

    JamiiForums Tanzania John Marwa: DarMpya Media hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

    Sijui ni kwanini mtu aombe radhi kwa kusema ukweli. Katambi hastahili kuwaomba vijana radhi, wala Dar Mpya haistahili kumuomba radhi Katambi kwa sababu Katambi kasema ukweli kuhusu vijana, wakati Dar Mpya wamesema ukweli kuhusu ukweli uliosemwa na Katambi.
  7. Hakainde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

    Japo havai sidiria
  8. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

    Kuna shule ipo Mbweni inaitwa Shamsia pamoja na hizo Feza Schools zinamilikiwa na Waturuki. Inasemekana wamiliki wanna Uhusiano na kiongozi wa jaribio la mapinduzi ya Serikali ya Uturuki. Wakati fulani walijaribu kurekebisha umiliki Ili kufuta ushahidi wa Uhusiano na kiongozi wa mapinduzi ya...
Back
Top Bottom