Recent content by hajurangoo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la mawaziri

    Shekh yahya angekuwepo tungekushauri uelekeze hii thread huko pole au ulizia mrithi wake!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni haki kumtendea hili mwenza wako?

    wanajf nawashukuru kwa ushauri na maoni kwa sasa kuna maelewano mazuri baina ya hao wapendwa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Warangi tu...!

    Je mimi niliyeowa dada wa kirangi ambae wazazi wake waalihamia Arusha japo haelewi kuongea kirangi tunapewa ukaribisho huo katika group tuluusike Kilaangi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tv imaan yapata kibali rasmi

    wanajf jaribuni kuchangia mada zinazojenga ubinadamu na si chuki za udini kumbuka dini ni imani ya mtu mwenyewe kama vile mtu ajisifu kuwa mke wake ni mrembo sana na mke wako hauziki mjadala huo hauna mwamuzi elewa maana ya dini na imani ni nini
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni haki kumtendea hili mwenza wako?

    Mdogo wangu wa kiume ana mchumba wake anayetaraji kumuoa na ni mtumishi usiku mmoja majira ya saa 3-4 akiwa nae alimuonyesha kitendo ambacho hakikumfurahisha mdogo wangu, dem wake aliamka kitandani na kuchukua cm kupiga kwa mwanaume wanaefanya nae kazi kuwa amemkumbuka na ampigie kumpa salam tu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Ni tatizo la kimaumbile tumia vilainishi kwa ushauri wa daktari.
  7. H

    JamiiForums Tanzania hodi hodi wana jf

    naomba mnikaribishe jukwaani
  8. H

    JamiiForums Tanzania Shilole Ayasifia Makalio Yake Na Kudai Kuwa Ni Original

    faida na manufaa yake yako wapi?
Back
Top Bottom