Gharama haipo fixed, kinachoangaliwa zisitumike gharama tofauti na muda wa campaign (any amount of money is applied during campaign period) ndio maana vyama vinaruhusiwa kuchangisha wananchi (harambee)
Fact, regard on your mind
Kwa upande wng, wote wazur kweny hoja ila kinachowatofautisha ni professionalism zao (viatu vya Lissu hawez kuvaa Zitto, the same Viatu vya Zitto hawezi Kuvaa Lissu) ila wakikaa pa1 aiseee ni balaaaaaaa la dunia.
A person From Tandahimba
Mwenye fridge size ya kati aina ya boss liwe la chini na sio la kusimama yaani namaanisha la biashara kwa ajili ya kupozea vinywaji nipo Morogoro kwa wiki hii then wiki ijayo nitakua Dar safari ya Mtwara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.