Mimi ni mwalimu wa English na History, natafuta kazi

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habari,

Mimi ni kijana niliyemaliza shahada ya ualimu katika taasisi kubwa sana hapa Tanzania mwaka 2018. Nina umri wa miaka 27 mpka sasa hivi.

Hivyo nipo mbele yenu kutafuta kazi mahali popote hapa Tanzania ikiwa ndani ya fani yangu au nje ya fani yangu.

Kwa sasa napatikana Mwanza, ila mahali popote naweza kuja kwani hali sio nzuri huku mtaani pia kukosekana kwa mtaji ili niwezwe kujiajiri ndo inanisababisha niombe kazi hapa.

Karibuni kwa ushauri pia. Naweza kufanya kazi yeyote ile.
 
Unaweza kutuelezea verb extension vizuri Kwanza?
 
gombea udiwani
 
ndugu yangu humu kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa tu.huwa ni kama wanasubiria tu mtu apost tangazo lake wao waandike mambo ya kumkatisha tamaa..sikia ndugu yangu kuwa na imani kwanza kabla ujafanya lolote lile..usiseme eti umeona sehem tangazo la kazi alafu ukasema watu ni wengi sijui kama nitapata..hiyo sauti inayokwambia watu ni wengi na ujui kama utapata ni roho chafu na inaonyesha ya kwamba auna imani kubwa..ikatae hiyo sauti na sema hii kazi ni yangu.inua imani yako usiogope then apply ndugu yangu.
 
Fact
 
Asnte kwa ushauri mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom