Recent content by hajoma

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Kweli kabisa mkuu Idawa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Hapa ni kama aliwakumbusha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Hapa ni kama aliwakumbsha mawakili wa serikali : Hakimu: nimeombwa nizuie dhamana kwa maslahi ya Umma lkn kifungu 148 kinazuia kama DPP ataandika kwa certificate na sijaona certificate ya DPP na Rco sio DPP na kwa maana hiyo Rco hana mamlaka hiyo.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna uhusiano gani kati ya udongo wa ulikozaliwa na kufanikiwa/kushindwa kwako?

    Unaambiwa ukienda safari chukua udongo wa sehemu unakoishi, ukifika uendako chukua udongo na changanya na udongo ulioenda nao, halafu weka maji na koroga kisha kunywa. Inaaminika ukifanya hivyo huwezi kuugua hovyo hovyo ukiwa safarini... Ila sijawahi kujua kama hili lina ukweli wowote
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kainerugaba Msemakweli...

  6. H

    JamiiForums Tanzania Serikali: Utaratibu wa uhakiki wa orodha ya malipo haucheleweshi mshahara

    una uhakika?? mwezi wa pili una 30/31?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea Naye Atiwa Mbaroni Na Jeshi La polisi

    Jana nimemsikia makamu rais akili Shia kuvunja halmashauri ya tanga Jiji wakati huo huo anasema uchaguzi hautarudiwa kwa sababu ni gharama. Je wanataka kufanya nini??
  8. H

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Kunawiri na kupendeza na miguu kuwa ya bia kama ilikuwa ya bia inakuwa ya champaine
  9. H

    JamiiForums Tanzania Marekani wazindua meli ya kivita yenye uwezo mkubwa zaidi ya zote duniani

    kuna jamaa alisema hawa wamarekani wanatamani magufuli awe rais wao...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    "sijachomeka kitu kwa hiyo sina cha kuchomoa"
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    Unauliza kiumbe au kiumbe hai? hata Tanzanite ni kiumbe japokuwa sio kiumbe hai
  12. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Atakayeshindwa kihalali akubali matokeo... Atakayeibiwa kura asikubali
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Kimbley tapo hasi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Kimbley Hasi
Back
Top Bottom