Kainerugaba Msemakweli... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kainerugaba Msemakweli...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Jan 31, 2012.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakuu salaam,
  Huyu mkuu nakumbuka aliibua ushahidi wa ufisadi hasa ule wa kagoda, kitu kilichopelekea yeye kutiwa msukosuko na "watawala" hata kuhojiwa masaa kadhaa na kutakiwa kuwasilisha ushahidi huo kwa DPP. Naye bila kusita alifanya hivyo.

  Sasa tangu wakati ule hatujasikia muendelezo wowote wa suala hilo na huyu mkuu Kainerugaba naye hatujamsikia tena. Je kulikoni?
  Ushahidi wa Kainerugaba umefanyiwa kazi na wahusika?
  Yeye mkuu Kainerugaba yupo wapi kwa sasa?

  Note:
  Mojawapo ya sababu zilizonifanya kumkumbuka huyu mkuu ni suala la Bw. Nahodha kumtaka Samwel Sitta kupeleka ushahidi kuwa Mh. Mwakyembe alipewa sumu. Nina hakika hata kama atapeleka ushahidi wa uhakika lakini kuna uwezekano mkubwa wa kuutia kapuni ushahidi huo kama ambavyo dpp amefanya katika masakata kibao huko nyuma. Kwani hata Mh. Mwakyembe alishawahi kuwakilisha ushahidi mara kibao wa yeye kutishiwa maisha lakini "watawala" waliishia kukejeli tu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Usikute washamfanyia mambo kama alivyosema jeikei,kwamba yeye sio dicteta angekua dicteta mtu akiongea kitu kinachodharirisha gov wanamchukua kwa ajili ya kumuoji na anapotelea huko huko na hata ukiuliza haupewi jibu
   
 3. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kainerugaba kesha kabwa...mpo?
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa tangu wakati ule hatujasikia muendelezo wowote wa suala hilo na huyu mkuu Kainerugaba naye hatujamsikia tena. Je kulikoni?
  Ushahidi wa Kainerugaba umefanyiwa kazi na wahusika?
  Yeye mkuu Kainerugaba yupo wapi kwa sasa?


  Inawezekana keshanyamzishwa nchi hii wasanii wengi
  na ile hoja ni nzito so lazima iangaliwe mara mbilimbili!
   
 5. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  juzi tu nimemuona jamani acheni uzushi


   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kapewa mshiko katuliiiia, anakula bata.
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Usijekuta wameshababua ngozi kwa misumu yao, CCM nomaaaaaaaaaaaa.
   
 8. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na kale ka-kesi ka kagoda kameishia wapi jamani.
   
 9. h

  hajoma Member

  #9
  Jul 17, 2016
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
   
Loading...